Pengo na marasusa ni makada wa CCM hata Bakwata wengi akiwemo Shekhe wa mkoa wa Dsm anayeshinda kutwa yupo Lumumba CCMHahahaaa
CCM ndio hamumpendi,ila Gwajima yeye ni askofu pia tena na Ubunge kagombea!
Kati ya Bagonza na Gwajima nani anashiriki siasa moja kwa moja?
CCM bwana,you motherfvckers are in a chronic paranoia!
Sijui mpoje yaani
Makamanda wamesema ni KKKT!Kama ni wa RC basi amejiingiza kwenye matatizo na kanisa lake
Vipi wale ambao huwa wanakuwepo kwa mzee wa chattle?? Ukiachila mbali aliyeamua kabisa kugombea kule kawe..Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Baada hapo. Zungumzia pia kuhusu Gwajima, Geo Davie wa Arusha etc ambao wanampigia kampeni Pombe waziwazi
Kosa watalibuni kati ya haya mawili, moja watasema siyo Raia wa Tanzania na pili watasema anashukiwa kutakatisha pesa toka nje, watachagua mojawapo kati ya hayo hapoKwa kosa gani?
Kudhani ni kutokuwa na uhakika.Hujajibu swali nadhani huna majawabu!
HahahaaaaPengo na marasusa ni makada wa CCM hata Bakwata wengi akiwemo Shekhe wa mkoa wa Dsm anayeshinda kutwa yupo Lumumba CCM
Ok ok Kama ni KKKT au kanisa jingine lolote ambalo siyo Katoliki hakuna shida...kwa Kanisa Katoliki hiyo ni issue kubwa...Makamanda wamesema ni KKKT!
Hata kakobe na yeye alikuwa hivo hivoNimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kifupi DAWA IMEPENYANimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Sioni kwa nini roho ikuume baba askofu anapomtia moyo mtetezi wa haki anayeonesha bidii.Nimemuona mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu akiwa mkutanoni na Askofu Bagonza huko Kagera kupitia mitandao ya kijamii.
Tena wamepiga picha kadhaa wakiwa na bashasha.
Ndio nawauliza wadau huyu Bagonza ni Askofu wa Kanisa au ana Huduma tu ndogo ndogo kama Gwajima na mchungaji Msigwa?
Majibu Tafadhali, aulizaye anataka kujua.
Maendeleo hayana vyama!
Mojawapo ya kitu kilichopelekea utawala wa awamu ya tano kuchukiwa sana ni kuwanyima watu uhuru wa kushabikia vyama hasa viongozi wa dini mpaka kupelekea baadhi ya viongozi wa Bakwata Roman kkkt Angilikana na makanisa mengine kuamua kujipendekeza CCM kinafiki ili wapate kuishi kwa unafuu ingawa moyoni wanaumia sana.Ahsante kwa ushuhuda wa picha bwashee!
Shekhe wa mkoa wa Dsm kutwa yupo makao makuu ya CCM na zamani alishinda kwa RC makondaSioni kwa nini roho ikuume baba askofu anapomtia moyo mtetezi wa haki anayeonesha bidii.
Mbona wale viongozi wa dini unaowapenda walioendesha mkesha wa kumsifu mh. Rais hukusema hali ya kuwa inaosha dhahiri wanafurahishwa na utawala huu na jinsi haki za waumini wao kuhujumiwa?
Siku hizi ni admini wa pornhub
Afanye siasa za kumsifia Mgombea wa CCM tu kama wanavyofanya Gwajima,Zee Levi la Upako,Gamanywa,Askofu Pengo,etc?Huyu Bagonza anaharibu siasa. Kiongozi wa dini hapaswi kufanya siasa za kichochezi
Maswali yako ya kikuda mzeeHapa namuulizia Bagonza....ni askofu wa Kanisa au wa Huduma?
Bagonza ni katoriki?..Bagonza ni wa kanisa katoliki, na kwenye kila mkutano huwa tunakuwa na viongozi wa imani zote kwa ajili ya maombezi.
Una swali lingine Comrade?
tunakuchanganya kimkakati ili mkarushe boom at wrong church.Mbona makamanda hamueleweki wenzio hapo Ufipa wamenijibu yuko KKKT wewe hapo Machame unasema yuko Katoliki.
Toeni jawabu Tafadhali!