Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

Hiyo management ibadilishwe ikibidi serikali itangaze nafasi ya ajira aje mwenye kujielewa aendeshe hilo shirika, walilazimisha kulifufua kwa kuongeza ndege mpya lakini litakufa tena kwa kuwa na uongozi mbovu.
 
Umemsahau JK
 
Hawa jamaa huwa hawana business ethics za airlines ? Wanajisahau sana
 
Maushungi anazurura na ile Airbus kama lakwake binafsi vile..
Airbus ya kubeba abiria 150+...
Sijui kwanini hatumii ndege maalum ya Rais..
Ee MUNGU sasa imetosha.
 
Pole baba Askofu
 

Amejibu kimatako kabisa, anatukana kwamba kwa nini tumenunua ndege nyingi,?pumbavu kabisa hili licobwina, bulk purchase and delivery inahusu, wana dhamana kubwa halafu wana akili za kindezi. Ofisi za umma nchi imejaa midog mingi sana. Kwa nini tumekosa unyenyekevu na kuipa utisho jamii ili tuwe wenye busara, adabu na utii kuwasiliana na umma. Conspiracy iko kasi sana na zama zarejea. Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
 
Airline of Total Confusion.

Amandla...
 
Tatizo mama kachukua ndege kubwa na kuvuluga kila kitu kwenye usafiri Geza Ulole wewe ulisema mimi mwongo kuhusu ndege pale nilipo kuambia wafanyakazi wa Airport wanalalamika mama kutumia ndege ya biashara kama ndege yake binafsi
 
Hii ni mbaya sana,hao viongozi wa atcl watafakari sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Eti ndege zote mbovu zipo kwenye matengenezo!!
 
Mtanzania ndio kiumbe pekee duniani anayeweza kulipwa akajihujumu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…