PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uongozi wa Saudi Arabia ungefanya jambo hapo,usikae kimya,upande mwingine ameifanyia dini mzaha
 
Hivi huyu anayejiita Askofu Bagonza hana kazi ya Uaskofu? Au kazi ya Uaskofu ni ndogo na nyepesi sana? Hivi ikitokea na wanasiasa wakianza kupatimba huko makanisani, kitaeleweka kweli?
 
Bagonza ameanza kuchanganyikiwa mwinjaku ni sawa na mdude nyangali tu wote ni watu wa kubwabwaja tu!
Kila asemaye ukweli mbele ya waovu na wasio na akili huwa amechanganyikiwa,mambo yakiharibika waovu hupata Akili mwishoni kwa sababu wao ni slow learners.
 
Kila asemaye ukweli mbele ya waovu na wasio na akili huwa amechanganyikiwa,mambo yakiharibika waovu hupata Akili mwishoni kwa sababu wao ni slow learners.
Bagonza mwenyewe anasemaje nafikiri amekataa mawakili kitambo!
 
Bagonza ameanza kuchanganyikiwa mwinjaku ni sawa na mdude nyangali tu wote ni watu wa kubwabwaja tu!
Bagonza yuko sawa,lbd ww uchanganyikiwe mwijaku na mdude kuwa sawa Kwa kubwabwaja bila kuona tofauti ya wanayoongea ni tatizo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…