GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umeunganisha dots vizuri sana hapo.
 
Wakati uchaguzi una mambo mengi sana ya kisiasa na usalama.

Ukimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar ni kama anasema serikali haihusiki na hilo, wale vinara wetu social media kila upande unatupa lawama na uhusika kwa mwingine.

Na kabla ya hapo, upande mmoja ulisema kuna askari/janja widi toka zanzbar wameletwa bara, ghafla dakika za mwisho ikawa si askar wa zanzbar ni mamluki wa uganda! Wakati huo huo kuna wakenya wadai kuna mkenya ameuliwa ubungo...

Tuwape ushirikiano vyombo vya ulinzi tupate utatuzi
 
Polisi kutokea nchi jirani walikuwa wanawafyatulia risasi waandamanaji kutokea nchi jirani, wakati polisi wa Tanzania na wananchi wa Tanzania wakishuhudia. Hapo patamu!
 
Zacharia Hans Pope humfahamu? Au hujawaji msikia huyu Askari Shombeshombe? Aliuawa wakati hata Idd Amin hajaanza vita rasmi
 
Okay, swali la pili ni nani kawaleta? Umenifurahisha hapo ktk kupata logic.

Ni jambo sensitive twende nalo kwa umakini sana.
Ni kweli walikuwepo hata Dodoma. Binafsi nimewashuhudia wakipiga muuza bucha risasi pale maeneo ya Swai njia ya Nkuhungu Dodoma. Wamevalia nguo nyeusi na hawajui kiswahili kabisa. Weusi kama sufuri za vijijini. Hakika Viongozi wetu wamelikosea JWTz adabu kabisa. WANAJESHI wetu walibakia tu kulinda majengo hawana sauti kabisa
 
Hakuna cha askari wa kukodi bali ni mapolisi wa tanzania na kmkm tu. Wanajeshi ndo waliotuangusha kufyeka wavaa kaki wapuuzi
 

Nimecheka ulipo sema tuwape ushirikiano vyombo vya ulinzi 🤣

Yaani ushahidi mpaka wa Video upo online, Mnataka tena ushahidi?

Hao wapumbavu wengi tu walikamatwa na JWTZ, wakawa detained kwenye kambi za Jeshi mnataka ushirikiano gani sasa?
 
Nahc ni baba yake Zakaria
 
Wanaosajiliwa jeshin ni baba kanituma....hata mazoez yenyew hawafuzu cz ni maelekezo..wanachojua ni ngono zembe tu na kuwaunga dada zetu kweny grd ya taifa...juz kwen curfew walipita watatu usiku wako na dada mmoja...walienda kesha ..asubuh wanapita wamebebelea silaha zao wako hoi...sasa kwel ndo tuamin mipaka yetu ipo salama kama ndo hayo yanafanyika huko?
 

👆🏾
Hawa azz-holes ndiyo suspects wakubwa kuwa bega kwa bega na hao mercenaries kutoka Uganda na vikosi vya KMKM sasa kuwaza tu jambo la kuwapa ushirikiano ni upunguani uliokithiri, hapa wako busy na cover-up ya yote yaliyojiri siku zile za maandamano.
 
Mengine yote ni sawa,
Lakini mkoa wa Mara jina kake likikuwa hilohilo , Mara, haukuwahi kuitwa jina la Ziwa Mashariki,

Kuhusu Hand Pope, hawa vijana wamekariri Hansoope wa Simba,

Kumbe alikuwepo Mkuu wa polisi Kagers akiitwa Hans Pope, ambaye ni kaka yake na Marehemu Hans Pope wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…