ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
Kwaiyo na wewe ni kichaa? Maana ulikubali kuongozwa na kichaa!!!! Jambo la corona liache mkuu jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza... Endelea kuchapa kazi nakuitafutia raziki familiaPost ya Mkuu wa nchi inapaswa kuwa sensitive sana, ila kinachoendelea hapa nchini kwetu ni tofauti kabisa. Usitake kutufanya tuone kuna umakini mkubwa sana kumpata rais wa nchi hii. Kama kungekuwa na umakini wa hivyo, JK na Magufuli wasingeweza kuwa marais wa Nchi hii. Nadhani kwako ukichaa ni mpaka mtu avae makopo shingoni na kiwa kichaa. Hivi kiongozi anayeagiza kupambana na Corona kwa kuweka kibanda cha kujifukiza ushirikina, kwenye hospitali kubwa ya taifa bila scientific proof, unautetea vipi ukichaa wake? Nenda leo hapo Muhimbili kama kile kibanda kama bado kipo.
Sent using Jamii Forums mobile app