Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

ISIWE UNASEMA HIVYO KWA KUWA NI MWANAMKE KWA KUWA WALIOTUFIKISHA TULIPO WOTE WALIKUA WANAUME.
Ujanamke wake sio tatizo, akili ya kuona mambo ya nchi kama maisha yake ya ukewenza ni uwandawazimu.
Analeta taarabu na mipasho kwenye mambo ya masingi Kama katiba mpya.
 
unapoteza muda,kama chuki ipo haihitaji wewe uiandalie gazeti.

wanasema chuki humuunguza mwenye kuihifadhi,utakufa kwa shinikizo tu.

Ni sawa hata nikifa, ili mradi sijamtangulia yule dhalimu.
 
Kichaa mwingine huyu hapa!

Unawezaje kuona hitler alikuwa kiongozi bora kama wewe sio kichaa?

usikariri manunu,nyinyi ndio wale mbuzi kila kitu mnabeba kama kilivyo.

ukisikia neno itikadi uwe na uelewa na hilo neno,kasome sera za jamaa na chama chake juu ya ujerumani na mipango ya dunia yote.ujione ulivyo mguruwe.
 
Ni sawa kabisa maana tuna uhakika polisi nao wameshachoka, hawana muda watafuata matakwa ya umma.

kama hawakuchoka 2015-2020,bro jipe shughuli.

naamini tanzania inawezakuja kupata mabadiriko kwa chama cha ccm kutoka,lakini si wakati huu ambao tunategemea genge fulani la wahuni kutoka chadema.
 
Ni sawa hata nikifa, ili mradi sijamtangulia yule dhalimu.

kumbe nawewe utakufa,sasa uunamsifu vipi kinyozi kumyoa mwingine wakati amekutaarifu kutia maji kichwa chako!!!

akili za mbuzi hizi.
 
Mwendawazimu kawaambukiza, unavyo jiongeresha ni kama umekatwa kichwa.
Ndio maana mnaitwa washenzi wa taifa.

washenzi wa taifa ndio wanafanya unakuza tumbo bila mawazo hapo kwenye getto lako.

mpaka unajisahau sana na kudhani ni wajibu wako kunenepa,jitikise ulinyanyue taifa.
 
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE

Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:

1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.

Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:

Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.

Nitoe ushauri ufuatao:

1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.

2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.

3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.

4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.

5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.

6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?

Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.

Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.

INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.

View attachment 1848441
Bagonza ni mwanasiasa au askofu.Mbona anapenda sana siasa.Waumini anawasaidia SAA ngapi,,?
 
Umesikia waumini wake wanalalamika? Askofu kupigania HAKI na UHURU wa raia katika nchi yake au popote pale duniani haina maana ni mwanasiasa na wala haimuondoi kwenye Uaskofu wake. Hata Askofu Desmond Tutu alifanya hivyo kupambana na makaburu kule South Africa.

Bagonza ni mwanasiasa au askofu.Mbona anapenda sana siasa.Waumini anawasaidia SAA ngapi,,?
 
Kwahiyo Askofu naye haambiwi ukweli? siku akiliongelea hili mnishtue.
 
Ujinga mtupu tu. Kila Mtu ni mlemavu wa akili inategemeana ni kiwango gani. Stupidity never ends
 
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE

Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:

1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.

Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:

Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.

Nitoe ushauri ufuatao:

1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.

2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.

3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.

4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.

5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.

6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?

Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.

Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.

INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.

View attachment 1848441
Ushauru ni mzuri. Tumwombe Askofu Bagonza ajielekeze kwake. Asisifiwe, asikumbukwe, arudi Chicago.
 
ni

ni sawa.na maskofu wafiraji pia tusiwasilize wanapohubiri.na hicho kipete ulichovaa hapo kwenye kidole tusilibusu.

lakini pia itungwe sheria ya kujinaisha kuwa kiongozi wa dini kama wewe askofu usishiriki siasa.

nilifikiri maskofu mnaakiri lakini kumbe zero kabisa.Mnakaa kuwadhalilisha watu halafu mnajiita viongizi wa dini

embu nikuulize:hapo kanisani kwako hamna vichaa ambao unawasalisha kila siku?Sikiliza si kila kichaa ameenda mirembi.kwa taarifa yako hata wewe ni kichaa isipokuwa hujafikisha kiwango cha kuenda mirembe.Yani kila mtu ni kichaa sisi wanasaikolojia tunasemaga tofauti ni level ya ukichaa.
 
Acha ujinga wewe!!! Maaskofu nao ni Watanzania wana kila haki ya kuikosoa Serikali wakati wowote ule. Mbona raia si wanasiasa na wana hiyo haki!? Kwanini iondolewe kwa Maaskofu!? 😳😳😳

ni
ni sawa.na maskofu wafiraji pia tusiwasilize wanapohubiri.na hicho kipete ulichovaa hapo kwenye kidole tusilibusu.

lakini pia itungwe sheria ya kujinaisha kuwa kiongozi wa dini kama wewe askofu usishiriki siasa.

nilifikiri maskofu mnaakiri lakini kumbe zero kabisa.Mnakaa kuwadhalilisha watu halafu mnajiita viongizi wa dini

embu nikuulize:hapo kanisani kwako hamna vichaa ambao unawasalisha kila siku?Sikiliza si kila kichaa ameenda mirembi.kwa taarifa yako hata wewe ni kichaa isipokuwa hujafikisha kiwango cha kuenda mirembe.Yani kila mtu ni kichaa sisi wanasaikolojia tunasemaga tofauti ni level ya ukichaa.
 
Kumbe dishi liliyumba na hamkutaka kutuambia dahh

sisiemu ni wasiri mno

Waliingia chaka, kustukia wameshamkabidhi chizi funguo ya hazina ya taifa mkono mmoja na rungu la dola mkono wa pili.

Hakukuwa na namna zaidi ya kuifanya siri kali.[emoji23]
 
Is Diallo....sure that Jiwe was kichaa? Au reference ni matendo ya Jiwe akaja na conclusion hiyo

Ukiweza kupata connection ya uhakika na JK, amin nakwambia utaijua kweli, nayo itakuweka huru[emoji1787]
 
Labda matendo yake maana hata mimi huwa namuona Lissu hayupo sawa kwa mtazamo wangu navyoona vitendo vya Lissu na hao watu wawili(Magu na Lissu) hawatofautiana sana katika hili, japo najua wengine wanaweza kutafsiri kuwa simpendi Lissu.

Lissu mzima sana lakini ana jazba ya kupitiliza (highly temperamental) inapokuja suala la kusimamia ukweli, facts, sheria na taratibu hasa zinazohusu haki za binadamu. Hapo huwa hana subira, staha wala janja janja (tact). Anagonga nyundo directly. Si mzuri sana kisiasa.

Kuonyesha kwamba ni mzima kweli kweli, si rahisi kumshinda Lissu kisheria hasa mahakamani. Ukweli na sheria ndio nguzo zake. Lakini kwenye majukwaa ya siasa unaweza kuwaaminisha watu ambao wengi hawana uelewa deep kuwa hayuko sawa.

Lakini Magu, mambo yake na kauli zake vikiwekwa peupe, [emoji848] ni kizunguzungu tu. Ilibidi awe anaongea kwenye public peke yake muda mwingi. Kwenye mjadala huru: facts zote na data zote zikitandazwa, utapata tabu sana kuelewesha watu kwamba yule mkulu alikuwa shwari kama prezidaa wa nchi.
 
Hapo kwenye Jazba ndipo kwenye matatizo yake ya akili, huwezi ukawa unapandwa jazba tu kila ukiongea na kukufanya ukose hekima na staha halafu wewe uone huyo mtu yupo sawa tu.
 
Back
Top Bottom