eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Katiba mpya tu ndiyo itatunusuru Watanzania na hili genge la wahuni ambalo limeivuruga Tanzania kwa miaka mingi.
Katiba mpya ni sawa. Lkn pia utamaduni wa kutii kanuni utiliwe mkazo katika jamii.
Maana kuwa na katiba nzuri ni jambo moja. Lkn pia kuifuata katiba ni jambo lingine. Ambalo ndiyo la maana zaidi.