Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

Nyinyi mlikuwa wafaidika wa uovu wake, hivyo lazima awe shujaa. Kama alitengeneza kundi la uhalifu na nyie mkapata ajira ya kuteka, kuua na kubambikia kesi, ataacha kuwa shujaa kwenu?

Hata yale makundi yaliyojitokeza kumuaga kwa uchungu mkubwa ni wanufaika wa uovu wake!!!

2025 mje na siasa za kumtusi hizi majukwaani,mtajua hamjui.
 
Hata Mugabe kuna waliomlilia, lakini haiondoi ukweli wa ushenzi na masaibu aliyowafanyia Wazimbabwe. Hakuna mtu ana muda wa kumtusi, kama ni machafu yake kuwekwa wazi yatawekwa tu, hivyo mtajua nyie kuwa ni ukweli au matusi hiyo ni juu yenu.
 
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE

Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:

1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.

Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:

Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.

Nitoe ushauri ufuatao:

1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.

2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.

3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.

4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.

5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.

6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?

Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.

Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.

INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.

View attachment 1848441
He Askofu bagonza ni msafi Sana

Katukuka kwa mawazo na matendo?

Au kaamua kuwa mwanaharakati?
 
Is Diallo....sure that Jiwe was kichaa? Au reference ni matendo ya Jiwe akaja na conclusion hiyo
 
Magufuli ni kama Nyerere kwa maana ya kwamba ndio viongozi pekee wanaozungumziwa sana kuliko viongozi wengine wote.

Ukiona mtu bado anaendelea kulaumu na kumsema mtu aliyekufa kama vile bado yupo hai ujue hapo chuki inafanya kazi na vinginevyo.
 
Labda matendo yake maana hata mimi huwa namuona Lissu hayupo sawa kwa mtazamo wangu navyoona vitendo vya Lissu na hao watu wawili(Magu na Lissu) hawatofautiana sana katika hili, japo najua wengine wanaweza kutafsiri kuwa simpendi Lissu.
 
Hata Mugabe kuna waliomlilia, lakini haiondoi ukweli wa ushenzi na masaibu aliyowafanyia Wazimbabwe. Hakuna mtu ana muda wa kumtusi, kama ni machafu yake kuwekwa wazi yatawekwa tu, hivyo mtajua nyie kuwa ni ukweli au matusi hiyo ni juu yenu.

nimewapeni mbinu,2025 mkamtukane jukwaani kwamba alikiwa fisadi,muuaji,na alibana haku zote.
mtagundua jambo jipya.
 
Magufuli ni kama Nyerere kwa maana ya kwamba ndio viongozi pekee wanaozungumziwa sana kuliko viongozi wengine wote.

Ukiona mtu bado anaendelea kulaumu na kumsema mtu aliyekufa kama vile bado yupo hai ujue hapo chuki inafanya kazi na vinginevyo.
Leo ukajinyea mbele ya kadamnasi ya watu, watu watakusema sana kuliko wote
 
Hata Mugabe kuna waliomlilia, lakini haiondoi ukweli wa ushenzi na masaibu aliyowafanyia Wazimbabwe. Hakuna mtu ana muda wa kumtusi, kama ni machafu yake kuwekwa wazi yatawekwa tu, hivyo mtajua nyie kuwa ni ukweli au matusi hiyo ni juu yenu.
Mtu keshakufa ila bado anaendelea kusemwa kama vile bado yupo hai, hiyo sasa ni chuki.
 
Leo ukajinyea mbele ya kadamnasi ya watu, watu watakusema sana kuliko wote
Unazungumzia "Leo" kutokana na hilo tukio ila Nyerere hadi leo bado anazungumziwa na toka afariki ni miaka kibao ishapita, Magufuli nae ndio anaongoza kwa kuzungumziwa akianza kuzungumziwa unaweza kudhani bado yupo yani haipiti siku bila kutajwa.
 
Askofu anaacha majukumu yake ya msingi sasa anaingia mzima mzima kwenye siasa zenye mlengo fulani.

Hatumpangii,ila tunamuasa kuwa na busara,ndio sifa kubwa ya viongozi wenzake wa dini.

Anaunga mkono maneno ya dialo??
Ulichoshindwa wewe kujua ni kwamba, dini ni siasa tu.
 
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE

Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:

1. Daima utakula chakula kizuri
2. Daima utavaa vizuri
3. Daima hutaambiwa ukweli.

Ni miaka 19 tangu niambiwe na yote nimeyaona. Ufafanuzi wa niliyoyaona nitaufanya siku nyingine. Kimsingi Viongozi katika jamii tunaishi kwa kujidanganya, kudanganya na kudanganya.
Leo Nina hili:

Comrade Anthony Diallo amesema maneno mazito. Ametimiza ahadi ya mwana TANU/CCM isemayo "Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko". Ukweli uliochelewa ni bora kuliko uwongo uliowahi.

Nitoe ushauri ufuatao:

1. Viongozi na watawala wetu kama hawawezi kuzuia kusifiwasifiwa basi angalau wanune wakisifiwa.

2. Waliokwishamaliza muda wa uongozi wasijengewe masanamu au kutangazwa ni watakatifu mpaka muda maalum upite.

3. Ikithibitika kuwa kiongozi wa umma ngazi yeyote amewahi kuwa na tatizo la afya akili, maamuzi yake yote yatenguliwe.

4. Walioathirika au kunufaika na maamuzi ya kiongozi mwenye tatizo la afya ya akili wajulikane na kusaidiwa.

5. Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa.

6. Iwe marufuku wananchi kuwapigia makofi viongozi au kuwachezea ngoma, badala yake Viongozi wawapigie makofi wananchi na kuwachezea ngoma. Waliomba kutumwa, makofi ni ya nini?

Haya yote yanasisitiza msimamo wangu wa TUSUBIRI KUPONGEZA WALA KULAUMU.

Tangu enzi ya Mwalimu mpaka Samia, wanajitokeza watu wa kushinikiza kuvunja katiba ili Viongozi waongezewe muda wa kutawala. Wakiishakufa ndipo tunaanza kuambiwa mambo mazito yaliyokuwa yanaendelea nyuma ya pazia.

INAFIKIRISHA, INASUTA, TUSUTIKE.

View attachment 1848441
Inaonekana hawa wawili walikuwa paka na panya muda mrefu.
 
f
Unazungumzia "Leo" kutokana na hilo tukio ila Nyerere hadi leo bado anazungumziwa na toka afariki ni miaka kibao ishapita, Magufuli nae ndio anaongoza kwa kuzungumziwa akianza kuzungumziwa unaweza kudhani bado yupo yani haipiti siku bila kutajwa.
Kumfananisha Mwendazake na Nyerere ndio wendawazimu aliousema Dialo Jana
 
Dhambi kusema ukweli!? [emoji15][emoji15][emoji15]
Ukweli gani mkuu? Ivi kweli wewe unathibitisha hayati Magufuli alikuwa kichaa? Ivi post yakuwa mkuu wa nchi mnaichukuliaje wakuu...yani nyie vichaa hamkutani nao uko street zenu? Tuache zihaka na dhambi!!!!'' hata wewe ukiwa jua wapo watakao kusema kwa mazuri na wapo watao sema kwa mabaya ila kwenye kukuita ulikuwa kichaa na haukuwa mimi nikiwa rafiki yako nanikasikia mtu kakuita kichaa wakati mimi najua haukuwa kichaa uyo kaumia... R.I.P JOHN MAGUFULI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom