Askofu Bagonza: Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa Umma!

Kwaiyo na wewe ni kichaa? Maana ulikubali kuongozwa na kichaa!!!! Jambo la corona liache mkuu jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza... Endelea kuchapa kazi nakuitafutia raziki familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwa hujui ndiyo ujue kwamba yule dhalimu mwendazake alikuwa mwendawazimu na siyo siri. Uwe unafuatilia habari za yanayojiri nchini kwa ukaribu badala ya KUKURUPUKA na kuanza ubishi wa kijinga. Na zihaka ndiyo mdudu gani!?
Nashukuru kwa kunikumbusha ila nataka ujue nchi kubwa hii!!! Siwezi kujua kila kinachoendelea kwenye kila mkoa!!! Ila kwa position ya Raisi ni rahisi tu kujua nini raisi kinafanyika na nini anafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…