Mbona Josephat Gwajima ni mbunge tena kwa kuiba kura na hujawahi kunyanyua mkia hata kidogo?! Askofu Bagonza akikemea uovu tena nje ya ulingo wa siasa unaanza kuwashwawashwa. Kwendraa.Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Utawala wa yule Mzee ulisaidia kuwatoa wengi kwenye nyumba za kupangisha au mbavu za mbwa!Yaaani mimi huwa mawashangaa kikwete ana lipi la maana zaidi ya uswahili wa kipuuzi na ujinga!
ANAGOMBEA UDIWANI??? 🤣🤣🤣Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
uaskofu anautaka!!, Na ukamanda anautamani !!, Hawa maaskofucammandoo, ndo wanaotuhalibia waumini makanisani hawa!!Kamanda Bagonza sijui 2025 atachukua fomu kugombea jimbo gani huko kagera? Chadema inaweza kuwa na matumaini ya ushindi
Bagonza nyege za kisiasa ziko juuKamanda Bagonza sijui 2025 atachukua fomu kugombea jimbo gani huko kagera? Chadema inaweza kuwa na matumaini ya ushindi
Yesu alifanya mambo ya kiuchumi bila kuwa mwanasiasa na alikataa kuwa mwanasiasa alilisha maelfu wakala Hadi kusaza bila msaada wa serikali Wala chama Cha siasa Wala katiba mpya Wala msaada wa kuchangisha toka kwa wazungu na bila kuwa na NGOKwahiyo wakifanya hayo ya kiuchumi ni sawa ila wakikosoa serikali haitakiwi?.acha kutangatanga ndugu.dini ni kazi kama kazi nyingine.kama ambavyo kiongozi wa kisiasa anaweza akawa mhumini wa dini ndivyo ambavyo mkulima anaweza kua mwalimu na mchungaji kua mwanasiasa.zaidi ya hapo ni porojo tu kwasababu hatutaki kukosolewa.hao viongozi wa dini wangekua wanasifia tu kamwe usingesikia hizi porojo za kwamba kiongozi wa dini asihubiri mambo ya kisiasa ila kwavile wanakemea maovu ambayo watawala hawapendi kusikia ndipo zinakuja hizi hoja mfu.
JK zakuambiwa alikuwa anachanganya nazakwake.Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:
View attachment 1983684
View attachment 1983686
View attachment 1983687
Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:
View attachment 1983688
Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila inapowezekana.
Mpe mtaro apunguze.Bagonza nyege za kisiasa ziko juu
Ujinga na upumbavu hautaisha nchi hii...
Masista hawamtoshi!?Mpe mtaro apunguze.
Itapendeza wewe ulieziona hizo nyege mbona unawasakizia masista unakwepa pampu mkuu!?Masista hawamtoshi!?
Hebu tuangalie nini kipimo cha awamuTumia basi akili kidogo- wewe unataka kutumia uchaguzi mkuu kuamua awamu- Nyerere unampa awamu ngapi?
Nimestuka sana. Tafakari uiombee nafsi yako radhi kwa Mungu pamoja na mwenzio aliyemuita Askofu na Mtumishi wa MUNGU mpumbavu. Vinginevyo laana itakuwa juu yenu kuanzia leo hii.Bagonza nyege za kisiasa ziko juu
Maneno hayo japo yanawaudhi wengi humu ndani ila ukikaa na kutafakari vyema...kuwatafakari watanzania vile ilivyo.... kuwatafakari wapinzani nao....unamaizi UADHIMU WAKE....JK ni aina ya Rais anayepaswa kuongoza Taifa ambalo limeshaendelea tayari na watu wake kwa zaidi ya 80% wanajielewa na wamestaarabika na mifumo iko tayari...
JK anaweza kuongoza nchi yeyote Ulaya au hata USA..
JPM anafaa na alifaa kuliongoza Taifa kama hili ambali bado haliko tayari kimifumo na zaida ya 80% ya watu wake ni wajinga na wapumbavu wasiojielewa... Watanzania bado wako kwenye stage ya kuswagwa kama punda au ng'ombe na wakishavuka hiyo stage sasa ndio wanapaswa kuongoza watu kama JK....Unafikiri hawa wapumbavu wala rushwa na wezi wa mali za umma + wauza madawa nk utawashughulikia kimama kwa kuwalealea wataacha...hizi hela za miradi bila kuwa kiongozi mkorofi unafikiri miradi itakwenda...
Bado Watanzania wako kwenye stage ya mijeledi na kuswagwa..
Kwa ilivyo kwa sasa ni mtu anayekuwa raisHebu tuangalie nini kipimo cha awamu
Sikatai Ila kazidiNimestuka sana. Tafakari uiombee nafsi yako radhi kwa Mungu pamoja na mwenzio aliyemuita Askofu na Mtumishi wa MUNGU mpumbavu. Vinginevyo laana itakuwa juu yenu kuanzia leo hii.
Pili, Askofu Bagonza na wengine wengi wa jinsi yake ndio haswa wanaujua wito wao mkuu walioitiwa wa kupigania haki, utu na ukweli bila kuogopa. Kwa maneno mengine kupiga vita dhuluma, uonevu na hata ujangili wa kisiasa. Ni ajabu kwamba siku hizi ukipigania haki, usawa na uhuru unaitwa CHADEMA. Tafsiri yangu ni kwamba watawala wa sasa wahahusishwa na kuwa kinyume na hayo. Ni hatari kweli kweli. Askofu na Maaskofu na Masheikh ipiganieni haki msikae kimya na wala msiwaachie wachache. Ndio wito mkuu wa Kanisa, Misikiti na hata wasio na dini rasmi. Endelea Baba Bagonza nchi ipone.
Nilisema nyege za kisiasa,ili zimuishe aache Kula sadaka aingie siasa ale kwa jasho Kama mboweItapendeza wewe ulieziona hizo nyege mbona unawasakizia masista unakwepa pampu mkuu!?
Kwahiyo unajua kila aina ya nyenge mrembo!!Nilisema nyege za kisiasa,ili zimuishe aache Kula sadaka aingie siasa ale kwa jasho Kama mbowe
Plump twat...go get fvcked,u gotta fvcking thick head,nothing gets inKwahiyo unajua kila aina ya nyenge mrembo!!
Kwahiyo unajua kila aina ya nyenge mrembo!!Nilisema nyege za kisiasa,ili zimuishe aache Kula sadaka aingie siasa ale kwa jasho Kama mbowe
Unadinywa na mashetani!!Plump twat...go get fvcked,u gotta fvcking thick head,nothing gets in