Swali fikirishi hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu awamu za viongozi wakuu wa nchi hivi wote hatuna akili timamu kuweza kutambua maana ya awamu za viongozi wa kuu wa nchi ya Tanzania Nadhani awamu hutokana na uchaguzi mkuu sasabasi iwe hivi:Ya awamu ya 4, ilihakikisha umoja wa kitaifa unakua
awamu ya 5, ya Rais wa 6 vyama vya siasa havikutani kujadili mambo ya kitaifa badala yake msajili wa vyama na polisi walikutana, ndiyo wasemaji wa vyama vya siasa ,hakuna kuimarisha ama kujenga umoja wa kitaifa