Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo yako hadharani juu ya masuala ya kisiasa huwa hakuna 'contradiction' kwamba unaingiza labda Siasa ndani ya Dini?..."
Askofu Dkt. Bagonza. “Mimi nadhani siasa ni uwanja wa watu wote lakini Dini ni uchaguzi wa mtu binafsi, Siasa ni yetu wote kwakuwa tunapiga kura, tunalipa kodi, ni yetu wote na sioni sababu ya mtu kumuwekea mtu mwenzake mipaka..." -
Aliongeza kusema, "Kwanini mnahoji kwamba nachanganya Dini na Siasa?, Nikijenga Shule mbona hamsemi nachanganya Elimu na Dini?, nikijenga Hospitali mbona sihojiwi kwamba nachanganya Afya na Dini?, nikichimba kisima cha maji kwa wananchi mbona hawasemi kwamba unaingilia idara ya maji?..." -Askofu Dkt. Bagonza
"... nikimkuta mgonjwa pale nikampa dawa siulizwi kwanini unachanganya Dini na Siasa na hata sihojiwi kwanini unachanganya Afya na Dini lakini nikihoji kwanini mgonjwa huyu hana dawa?, kwanini serikali haileti dawa kwaajili ya mgonjwa wanasema aaah.., anachanganya Dini na Siasa, sasa huoni hapo kwamba kuna shida ya kimantiki?” -Askofu Dkt. Bagonza.
Pia, soma

- Askofu Bagonza anahudumu Kanisa gani na kwanini anajihusisha na Siasa za moja kwa moja?
- Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa
- Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa
- Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo
- Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lawataka viongozi wake kujiweka kando na Siasa
- Kanisa likiionya Serikali hapo linaingilia Siasa, likiisifia wako kimya
- Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania
- Siasa Bukoba, Kagasheki atinga kanisa la kilokole kuombewa
- Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa
- Makanisa yamegeuzwa grounds za siasa kenya. Why not Mosques/Islams?. Even in Tanzania
- Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera
- Vikao vya Vyama vya Siasa na Dini tofauti ni kupoteza muda tu, Tanzania sio nchi changa tena
- Njia mbili za kushughulika na dini katika siasa kwa uthabiti na uwazi
- Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa