Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.

Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:

1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).

2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunung’unika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.

3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, “Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko”. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.

4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.

Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.

Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
 
Akili ya kifalsafa.
Huyu Kihongosi kama anaamini kuwasema viongozi hadharani ni kosa, yeye anapata wapi uhalali wa kumsema mzee Warioba hadharani?

Kama anaamini ili umshauri mtu mfuate mhusika na umshauri, je yeye kashindwa vipi kumfuata mzee Warioba na kumshauri kwa namna ile ile ambayo angependa viongozi wake washauriwe?

Akili ndogo sana!
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
 
1768667252366.jpg
 
Naomba ututajie majina ya hao watoto Waliotelekezwa, hata via PM
askofu kalikawe mwenyewe anawajua ila hataki fedheha kabisa kuhofia kuvunja ndoa yake na aibu kwa umma.

sasa sijui wakati anazini na vibinti vya watu alikua kasahau hiyo fedheha ama laa.
askofu mzinzi sana huyo gentleman na ndio maana walimtupia hungo ngara ndaninadani kabisa kwasabau angeliabisha kanisa angekua mjini :HAhaa:
 
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.

Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:

1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).

2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunung’unika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.

3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, “Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko”. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.

4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.

Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.

Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
Baba Askofu, huyu hakuna alichokijenga. Usimdanganye! Usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Kuna watu wenye hizo Tabia tukikutajia hapa utakombia na utazima hiyo VPN
mojawao si ndio huyo askofu kalikawe na kitima gentleman,
mbona inajulikana na kila mtu hiyo gentleman na hakuna haja ya kukimbia ukweli huo :HAhaa:
 
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.

Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:

1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).

2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunung’unika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.

3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, “Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko”. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.

4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.

Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.

Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
Askofu usibishane wala kuwajibu watoto wadogo hawa. Hawa machawa ukweli wanauona, lkn kwa vile ni machawa wanaropoka ili waende chooni na familia zao
 
Akili ya kifalsafa.
Huyu Kihongosi kama anaamini kuwasema viongozi hadharani ni kosa, yeye anapata wapi uhalali wa kumsema mzee Warioba hadharani?

Kama anaamini ili umshauri mtu mfuate mhusika na umshauri, je yeye kashindwa vipi kumfuata mzee Warioba na kumshauri kwa namna ile ile ambayo angependa viongozi wake washauriwe?

Akili ndogo sana!
👍🏽👍🏽👍🏽
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
Wewe mgonjwa wa akili umekuja huku kufanya nini!! Watafute
Nduguzo wakuwahishe hospitali uyawahi matibabu. Huu muda unaouchezea huku wakati ukiwa mgonjwa wa kiasi hiki, ni kutothamini utu wako. Pole sana.
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
mfanyakazi wa chama hapa unapotosha. Heshimu watu
 
Back
Top Bottom