Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

Muda mwingne mkitaka kudanganya jitahid kutengeneza uongo unaokaribiana na ukweli
Bagonza hana ndoa, sasa sijuh ni ndoa Gani unayosema et itavunjwa?
Mke wake alishafariki miaka kama mitatu ailiyopita
Watu wa namna hii wanakua na laana ya asili msibishane nao hawaogopi kitu chochote au kuongea chochote kumharibia mtu ili mambo yake yaende huyu ni mmoja wapo..
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
Sera za chukua chako mapema hizo
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
Jifunze Tu Kuandika Kwa Ufasaha komredi,,,hoja Huna...
 
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo :HAhaa:
Kama hii ndio namna ya kujibu hoja, basi taifa lina safari ndefu sana kuifikia nchi ya maziwa na asali.
 
Back
Top Bottom