Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzoNimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:
1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).
2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunungβunika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.
3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, βNitasema kweli daima, fitina kwangu mwikoβ. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.
4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.
Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.
Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
Jadili hoja yake kwanza na hayo mengine karumangie ugali!Bangonza wa CHADEMA?
Naomba ututajie majina ya hao watoto Waliotelekezwa, hata via PMaskofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
askofu kalikawe mwenyewe anawajua ila hataki fedheha kabisa kuhofia kuvunja ndoa yake na aibu kwa umma.Naomba ututajie majina ya hao watoto Waliotelekezwa, hata via PM
Baba Askofu, huyu hakuna alichokijenga. Usimdanganye! Usimpake mafuta kwa mgongo wa chupaNimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:
1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).
2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunungβunika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.
3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, βNitasema kweli daima, fitina kwangu mwikoβ. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.
4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.
Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.
Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
mojawao si ndio huyo askofu kalikawe na kitima gentleman,Kuna watu wenye hizo Tabia tukikutajia hapa utakombia na utazima hiyo VPN
Askofu usibishane wala kuwajibu watoto wadogo hawa. Hawa machawa ukweli wanauona, lkn kwa vile ni machawa wanaropoka ili waende chooni na familia zaoNimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:
1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).
2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunungβunika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.
3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, βNitasema kweli daima, fitina kwangu mwikoβ. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.
4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.
Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.
Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
Unachosha sanaaskofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
realx na upunguze mihemko ndugu yangu mchovu,Unachosha sana
Sasa hii inahusianaje na hoja zake
Bora ukose Kila kitu kuliko ukose akili
ππ½ππ½ππ½Akili ya kifalsafa.
Huyu Kihongosi kama anaamini kuwasema viongozi hadharani ni kosa, yeye anapata wapi uhalali wa kumsema mzee Warioba hadharani?
Kama anaamini ili umshauri mtu mfuate mhusika na umshauri, je yeye kashindwa vipi kumfuata mzee Warioba na kumshauri kwa namna ile ile ambayo angependa viongozi wake washauriwe?
Akili ndogo sana!
Wewe mgonjwa wa akili umekuja huku kufanya nini!! Watafuteaskofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
mfanyakazi wa chama hapa unapotosha. Heshimu watuaskofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
Huyo mtu hadi unamuita biingwa maana yake unaujua uwezo wake,, je alikukaza na wewe?realx na upunguze mihemko ndugu yangu mchovu,
kalikawe ni bingwa wa ngono nzembe aliejificha madhabahuni