Wewe kama wewe hapo ulipo umezalishwa watoto wangapi na huyo Askofu Bagonza, halafu akawatelekeza hao watoto wake bila ya matunzo?askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
Wewe unaonekana una siri nyingi sana kuhusu Askofu Bagonza! Hebu utuambie kwanza umejuaje kama ni bingwa wa ngono zembe aliye jificha madhabahuni?realx na upunguze mihemko ndugu yangu mchovu,
kalikawe ni bingwa wa ngono nzembe aliejificha madhabahuni
😄Huyo mtu hadi unamuita biingwa maana yake unaujua uwezo wake,, je alikukaza na wewe?
Una kadi yake au ulishamuona wapi kwenye vikao vya chama?Bangonza wa CHADEMA?
Kumbe WW chizirealx na upunguze mihemko ndugu yangu mchovu,
kalikawe ni bingwa wa ngono nzembe aliejificha madhabahuni
Pole dada kakuachia vitoto vingapi unavilea?askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
Si umtaje tu Samia michepuko kwanini unamung'unya maneno?Kuna watu wenye hizo Tabia tukikutajia hapa utakombia na utazima hiyo VPN
Acha kuchafua mtu kwa jambo usilo na uhakika nalo. Unaweza kuleta ushahidi hapa...au ukihitajika kuleta ushahidi polisi ili askofu Bagonza akamatwe? Tukupe siku ngapi zinatosha?askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo
Muda mwingne mkitaka kudanganya jitahid kutengeneza uongo unaokaribiana na ukweliaskofu kalikawe mwenyewe anawajua ila hataki fedheha kabisa kuhofia kuvunja ndoa yake na aibu kwa umma.
sasa sijui wakati anazini na vibinti vya watu alikua kasahau hiyo fedheha ama laa.
askofu mzinzi sana huyo gentleman na ndio maana walimtupia hungo ngara ndaninadani kabisa kwasabau angeliabisha kanisa angekua mjini
Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:
1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).
2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunung’unika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.
3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, “Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko”. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.
4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.
Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.
Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
kwahiyo tabia ya ngono nzembe ya kalikawe bagonza ni ya kudanganya gentleman?Muda mwingne mkitaka kudanganya jitahid kutengeneza uongo unaokaribiana na ukweli
Bagonza hana ndoa, sasa sijuh ni ndoa Gani unayosema et itavunjwa?
Mke wake alishafariki miaka kama mitatu ailiyopita
huo sio uchafu kwa kalikawe gentleman,Acha kuchafua mtu kwa jambo usilo na uhakika nalo. Unaweza kuleta ushahidi hapa...au ukihitajika kuleta ushahidi polisi ili askofu Bagonza akamatwe? Tukupe siku ngapi zinatosha?
Nawaona wazee wa kupika uongo, aka askofu kitima , ongezeni sauti.askofu kalikawe mwenyewe anawajua ila hataki fedheha kabisa kuhofia kuvunja ndoa yake na aibu kwa umma.
sasa sijui wakati anazini na vibinti vya watu alikua kasahau hiyo fedheha ama laa.
askofu mzinzi sana huyo gentleman na ndio maana walimtupia hungo ngara ndaninadani kabisa kwasabau angeliabisha kanisa angekua mjini
wa kutunga porojo si wanalipiwa hoteli pale nairobi gentleman?Nawaona wazee wa kupika uongo, aka askofu kitima , ongezeni sauti.
MaCCM ni majitu ya kipumbavu sana. Mungu ameamua kuyalaani na kuyatia aibu ili dhambi zao zianikike hadharani mbele za wananchi.Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza.
Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee Warioba ana chuki na viongozi. Nimetafakari haya kuhusu maneno ya Kihongosi:
1. Mzee aliishastaafu. Si sehemu ya serikali hata kama ni mwanachama wa CCM. Mzee huyu ndiye mstaafu halisi na PEKEE. Wengine mbaodhani wamestaafu, bado hawajastaafu ndio maana wako kimya maana wanafungwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja (Collective Responsibility).
2. Mzee Warioba hana CHUKI na viongozi. Anawapenda kama Baba wa Taifa alivyowapenda kina Ali Hassan Mwinyi, Horace Kolimba, John Malecela na Edward Lowasa. Kama raia na mstaafu wa kweli aliwaambia ukweli kwa upendo kuliko kujificha na kunung’unika pembeni. Mzee Warioba ana UPENDO mkubwa kwa viongozi walio zamu.
3. Badala yake, Mzee Warioba anaweza kuwa anachukiwa ama na viongozi au na CCM. Kwa kuwa msemaji wa chama kasema, ni sahihi kuamini kuwa ipo chuki mahali fulani. Imani ya 8 ya TANU na CCM inasema, “Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko”. Mzee Warioba bila hofu wala aibu amesimamia UKWELI, HAKI na UWAZI. Kama kwa kufanya haya anastahili kulipwa maonyo haya, namshauri ayapokee bila kinyongo.
4. Vyama VYOTE vya siasa hapa nchini, ni vyama vya viongozi kuliko kuwa vyama vya wanachama. Mzee Warioba ni muumini aliyepitwa na wakati kwa kuamini vyama ni mali ya wanachama. Hata hivyo, kuna siku vyama VYOTE vitawajitaji akina Mzee Warioba wengi ili madhambi ya viongozi yabakie ni ya viongozi na yale ya serikali yasiwe madhambi ya vyama. Vyama viongoze, visiongozwe. Tafakari.
Nampongeza rafiki yangu Kenani lakini nahisi hoja hii ameishika kichwa chini na miguu juu. Akipenda amtembelee Mzee Warioba. Ajifunze na kumfundisha pia. Enzi zetu, tulipenda kumtembelea na kujifunza kujenga hoja. Angefufuka hayati Mohamed Seif Khatibu angekueleza.
Ila ninakupongeza, unajitahidi kujenga Hoja
Tatizo mkishapewa pesa huko Lumumba mnaanza kuchafua watu kwa njaa zenu, Sijawahi kuona mtu mpumbavu kama wewe hapa JF. Tuambie sasa Bagonza alifanya ngono na mama yako? Labda sisi hatujui. Acha upumbavu wako wewe mshenzi....Tatizo lako huna akili ndiyo maana unatumika.huo sio uchafu kwa kalikawe gentleman,
hiyo ni tabia yake ambayo akiifanya yeye anaona ni baraka,
ila akiwa madhabahuni anahubiri anawakataza waamini wake kwamba ngono nzembe na uzinzi ni dhambi,
ushetani wa madhabahuni ni wa kindezi sana aise
Peleka ushahidi mahakamani.askofu kalikawe bangoza ni mtumishi wa Mungu ila fuska mno, anaharibu vitoto vya waamini wake kwa ngono nzembe na kutelekeza watoto mtaani bila matunzo