Akaishia kutengeneza vikundi vilivyozalisha matapeli kama Gwajima na wengineo.
Sijui usaidiwe vipi kuelewa maana dalili zote zaonesha kuwa unasema haya kwa kuwa unaishi katikati ya "giza la ujinga kiroho".
I absolutely don't blame you kwa kuwa hiyo ndiyo hali yako ya kiroho na ndio maana kila asiye na mafundisho sahihi ya Neno la Mungu kama wewe utawaona watu kama Mch. Josephat Gwajima au Yesu Kristo mwenyewe ni "matapeli..."
Kumbuka kuwa, hata Yesu Kristo mwasisi wa "u - Kristo" katika huduma yake ya injili alipokuwa ktk huu ulimwenguni physically, watu kama wewe walimwita "Mkuu wa mapepo - Belzebul....."
Walimwita hivyo kwa sababu alifanya miujiza ya kuponya wagonjwa, kufungua waliokuwa wamefungwa na vifungo vya kishetani, kufufua watu, kulisha wanaume 5,000 chakula cha mikate mitano na vipande vya samaki viwili na kusamehe dhambi pia....
They were wrong kama wewe ulivyo wrong. Matapeli wa kidini walikuwepo hata enzi za Yesu Kristo lakini yeye hakuwa miongoni mwao na wapo hata leo lakini sio Askofu Mch. Josephat Gwajima...!
Go back home, see things in the holy spirit eyes and most importantly read your Bible and understand it correctly. After that, you can come here and make your judgement...