Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari snHilo li PhD lake nadhani ni fake kama zile za akina wanasiasa wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari snHilo li PhD lake nadhani ni fake kama zile za akina wanasiasa wetu
Aibu sn mkuuPhd na njaa wapi na wapi
Sijui usaidiwe vipi kuelewa maana dalili zote zaonesha kuwa unasema haya kwa kuwa unaishi katikati ya "giza la ujinga kiroho".Akaishia kutengeneza vikundi vilivyozalisha matapeli kama Gwajima na wengineo.
Hakuna askofu pale,yule ni dalali na chawa tu.Askofu shoo naye kazid mno jamani
Mara kaota mama Samia sijui kaongoza vipindi viwili mara sijui nini huko
Si atulie huyu mzee
Kwa mpaka hapa kichaa ni wewe... Ndiye peke yako umepinga huu ukweli...huyu bagonza naye ni kichaa kama yule wa chadema mwamakula
Hata za sekondari we taja tu....Sababu 95 za Padri Martin Luther kuondoka Katoliki na kuanzisha kanisa zote ni za msingi sana, unataka nikutajie 5 za msingi?