Pre GE2025 Askofu Bagonza: KKKT ina Mkuu wa Kanisa mmoja tu, Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nondo tupu! Wazazi wa Bagonza hawakupoteza ada zao.
Dr Bagonza we People of Karagwe are proud of You Sir ! A true son of Tanzania . We wish we had at two people of your Calibre in this Nation. Great thinker and a straight forward man. ELCT Karagwe did indeed pick a right person for the Job. Keep it Up Sir ! Nakumbuka uliwahi kuseoma huko siku za nyuma ( wakati wa Awamu ya 5) kwamba hakuna Mtu anayepaswa kukunyanganya Haki yako ya Kuongea ambayo ulipewa na Mwenyezi Mungu pekee na you were very right .
Wazazi wako tunawapongeza kwa kukulea na kukufanya uwe kama wewe hap Duniani.
 
Nondo tupu! Wazazi wa Bagonza hawakupoteza ada zao.
Dr Bagonza we People of Karagwe are proud of You Sir ! A true son of Tanzania . We wish we had at two people of your Calibre in this Nation. Great thinker and a straight forward man. ELCT Karagwe did indeed pick a right person for the Job. Keep it Up Sir ! Nakumbuka uliwahi kuseoma huko siku za nyuma ( wakati wa Awamu ya 5) kwamba hakuna Mtu anayepaswa kukunyanganya Haki yako ya Kuongea ambayo ulipewa na Mwenyezi Mungu pekee na you were very right .
Wazazi wako tunawapongeza kwa kukulea na kukufanya uwe kama wewe hap Duniani. Mungu akuzidishie hekima, ujasiri na Maisha marefu hapa duniani . You one of the rarest species of men in this Planet ! We need to protect you as we do for other rare species of creatures !
 
bora amemjibu shoo. ana kimbelembele sana na ule mdomo wake.
 
Yaani Ukisikia PHD ndio hizi sasa, nimesoma hadi nikarudia tena baadae nikakumbuka mchungaji wangu nae ana PHD ila nikaogopa kumwambia baba mchungaji wangu kuwa PHD aliyonayo ni fake aisee
Siyo kama zile za Fake za wanasiasa wa Kibongo wanazogawiwa na UDOM na vyuo vingine fake hapa nchini. Wanazidhalilisha hasa maana mawazo na matamshi yao huwa hayareflect hizo PhD zao za mchongo !
 
Askofu Shoo amekua wa hovyo sana!
Lakini huyu Mnyambo wa moto sanaa🤣🤣🤣
[3. Kama kuna mstaafu, ASTAAFU. Si lazima kuhudhuria; si lazima kusema. Ukipenda, usipende kwa niaba. Ukichukia, usichukie kwa niaba. Kila ulimi una uwezo wa kuonja wenyewe]
 
Huyu Askofu kumbe nae ana kichwa kizuri...nitaanza kumfuatilia...
Huyu alifaa awe Kanisa Takatifu la Mitume...
Wewe huyu ni Kichwa hasa, na uzuri wake ana uzalendo wa kweli katika kutetea haki na maslahi ya Taifa lake, ukiweka pembeni mambo ya Imani yake. Anatimiza wajibu wake vuziri kama Mchungaji wa Kiroho lakini pia asiyetaka watu wake walishwe kimwili na aliongeza kusema pia na Katika Vichwa vyao wajue haki zao na anafanya yote vizuri sana. I wish na wachungaji na Viongozi wengine wa Imani zote hapa Nchini wangeiga mfano huu wake. Unfortyunately wengine wengi wao ni wanafiki na wanatanguluza uchawa kwa viongozi ili washibishe matumbo yao na kupewa bahasha nono kwa kujikomba kwao
 
Lakini huyu Mnyambo wa moto sanaa🤣🤣🤣
[3. Kama kuna mstaafu, ASTAAFU. Si lazima kuhudhuria; si lazima kusema. Ukipenda, usipende kwa niaba. Ukichukia, usichukie kwa niaba. Kila ulimi una uwezo wa kuonja wenyewe]
Great thinker !
 
Big Brain always inteligent
 
Hilo lidubwasha lako lina nn zaidi ya ubaguzi. Magu alifanya ubaradhuli mwingi si askofu wa padre aliyekemea kisa mRC mwenzao. RC ni wadini wabaguzi
Wewe sasa unaishi kwa unafiki tu, kwani humjui Askofu Niwemugizi ni kiasi gani alikuwa anakosaoa JPM mpaka wakakosana? Usiishi kwa hisia na mihemuko hiyo.
 
Tokenu kwenye madhehebu ni alama ya mnyama
Udhehebu sio ukristo
Mungu hayupo kwenye madhehebu
 
Akaishia kutengeneza vikundi vilivyozalisha matapeli kama Gwajima na wengineo.

Mara kadha wa kadha mchungaji wako Kimaro yule ya Dsm amesikika akiwapa wakatoliki na muslims maua yao, sasa jiulize kati ya yeye aliyesomea uchungaji na wewe maamuma , nani mjinga wa kiroho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…