PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
1744445379116.jpeg

Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.

Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;

4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:

a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.

b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.

Kupata wakara wote wa Bagonza ingia hapa: Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Tuache kuchezea neno “uhaini” Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini

c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.

Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.

“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
 
Wamemtengenezea mama uwanja mweupe aserebuke peke yake kwa raha zake, mitano mingine bila jasho.
 
Pia wamemtengenezea aibu kubwa ya mwanamke kutoka madarakani kwa fedheha. Watanzania sio kondoo kuwa utawapelekesha utakavyo kinyume na utaratibu kama vile wote wana akili za kina Steve Nyerere na wenzake.
Anguko la aibu laja. Mkumbusheni, HAKI HAIKWEPEKI kama sio leo basi kesho
 
Jeshi la polisi limejipanga kweli kweli.
 
Haki haijawahi kushindwa na uovu,batili,uovu,wizi wa kura,kura feki za marehemu,watoto wa shule ,hayo yoooote ndio uhaini na uasi.tume huru feki ndio uasi huo ,kwa hiyo mtajipigia kura wenyewe na mapolisicccm.
 
Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;

4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:

a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.

b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.

c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.

Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.

“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
Lissu kakubali kuwa anachofanya ni uasi wewe ubishe ni nani?
 
huyu mzee na yule mwingine mwamakula nawaonaga kama machizi fulani tu hivi wanaacha kuhubiri kila siku wako na mikutano ya chadema halafu unajiita askou kweli?waache kuchezea cheo cha askofu watakuwa kuni huko waendako
 
Kuni ni wale wajinga wanaohubiri amani na kuichukia haki. CCM ni Chama Cha Mashetani
 
Lissu kakubali kuwa anachofanya ni uasi wewe ubishe ni nani?
Unajua tafsiri ya neno uasi wewe? Au akili yako ni ya ngumbaru?
Huwezi kumuelewa Lissu kama ni mjinga, jielimisheni kwanza ndio mtafsiri kauli zake
 
huyu mzee na yule mwingine mwamakula nawaonaga kama machizi fulani tu hivi wanaacha kuhubiri kila siku wako na mikutano ya chadema halafu unajiita askou kweli?waache kuchezea cheo cha askofu watakuwa kuni huko waendako
Ona aina nyingine hii ya kiazi! Angekuwa yuko pale ikulu na kumsifia yule mzanzibar using hoji ila kuisemea haki ni nongwa?
 
Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;

4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:

a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.

b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.

c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.

Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.

“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
Huyu Askofu tangu aunge mkono uasi wa Askofu Mwaikali wa Jimbo la Konde, nimemtoa maanani.
 
Back
Top Bottom