PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kesi inasikilizwa kwa mtandao. Wakusanyike pale CHADEMA makao makuu na screen wafuatilie.
 
kazi gani serikali imetengeneza za vijana kujiajili

acha watu wakasikilize vile serikali haijielewi inavyo hangaika na jambo la kijinga

serikali yenyewe imeshindwa kazi ya kuwapatia watu kazi wacha wafanye kazi ya kusikiliza kesi
 
Kesi inasikilizwa kwa mtandao. Wakusanyike pale CHADEMA makao makuu na screen wafuatilie.
ingekuwa hili wazo linafanyika kwa watuhumiwa wote mbona mambo yasinge kuwa mengi kwenye mahakama zetu
 
Siasa hazizui kufanya kazi!
Siasa ni sehemu ya mambo yanayoleta maendeleo!Ili tuendelee tunahitaji yafuatayo:-
1.Ardhi 2.Watu 3.Siasa safi 4.Uongozi bora
Ni kujidanganya bure kusema Vijana waache Siasa wafanyekazi.
 
Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma

Ahsanteni sana 😁🇹🇿
Hiyo payrolll imelisha vijana wangapi? Hivi ukiulizwz vijana waliopo Tanzania na Zanzibar ni asilimia ngapi wamelishwa kwa payrolll unajua? Wewe kula ushibe ulale. Kula kulala.
 
Back
Top Bottom