PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siasa hazizui kufanya kazi!
Siasa ni sehemu ya mambo yanayoleta maendeleo!Ili tuendelee tunahitaji yafuatayo:-
1.Ardhi 2.Watu 3.Siasa safi 4.Uongozi bora
Ni kujidanganya bure kusema Vijana waache Siasa wafanyekazi.
Ndiyo ujanja wa ccm, wanawaambia vijana waachane na siasa wakafanye kazi huku wao wakifanya siasa na kuwatungia sheria, sera na miongozo ya hovyo ya kuwakandamiza hao hao vijana wanao wahimiza kuachana na siasa wafanye kazi. Huku wao ccm wakizimiliki siasa za Tanzania wao na familia zao.
Kwanini na wao wasiachane na siasa wakafanya kazi?
 
Kama unauza madafu kisutu ... Badirisha kijiwe. Nenda kauzie segerea au mazingira ya mbali na kisutu. (Utanishukuru badae)
 
Nyerere angekuwa na mawazo ya kijinga kama yako tungechelewa sn kupata uhuru, kwenda mahakamani kusikiliza kesi kosa lake ni nini?
Na wewe uende sasa. Sio kusubiri hapa wenzio wale virungu halafu unakuja kuripoti tu hapa ukiwa salama salimini
 
huu ni wakati chadema wawe na adabu ya hali ya juuh hatuwezi kuruhusu ujinga wa wajinga fulani wanaojifanya wapinzani kucheza na amani ya nchi

ni wakati sasa chadema kujijifanya mamba kwenye msafara wa mamba ikiwa wao ni kenge
 
Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma

Ahsanteni sana 😁🇹🇿
Kwa sababu ya mawazo kama haya ndio maana hii nchi mpaka leo ni masikini licha ya kukalia utajiri wa kila aina!!
 
Nimeona kichwa cha habari kina maneno mengi kuliko habari yenyewe. Maana huwa mahesabu maneno ya kichwa cha habari unazoziandika na habari zenyewe. Na mara nyingi kichwa cha habari huwa kinakuwa kirefu kuliko habari yenyewe
 
Back
Top Bottom