Pia wamemtengenezea aibu kubwa ya mwanamke kutoka madarakani kwa fedheha. Watanzania sio kondoo kuwa utawapelekesha utakavyo kinyume na utaratibu kama vile wote wana akili za kina Steve Nyerere na wenzake.Wamemtengenezea mama uwanja mweupe aserebuke peke yake kwa raha zake, mitano mingine bila jasho.
Jeshi la polisi limejipanga kweli kweli.Pia wamemtengenezea aibu kubwa ya mwanamke kutoka madarakani kwa fedheha. Watanzania sio kondoo kuwa utawapelekesha utakavyo kinyume na utaratibu kama vile wote wana akili za kina Steve Nyerere na wenzake.
Anguko la aibu laja. Mkumbusheni, HAKI HAIKWEPEKI kama sio leo basi kesho
Kuiba kuraJeshi la polisi limejipanga kweli kweli.
Lissu kakubali kuwa anachofanya ni uasi wewe ubishe ni nani?Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;
4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:
a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.
b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.
c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.
Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.
“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
huyu mzee na yule mwingine mwamakula nawaonaga kama machizi fulani tu hivi wanaacha kuhubiri kila siku wako na mikutano ya chadema halafu unajiita askou kweli?waache kuchezea cheo cha askofu watakuwa kuni huko waendakoNi kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;
4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:
a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.
b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.
c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.
Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.
“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
Kuni ni wale wajinga wanaohubiri amani na kuichukia haki. CCM ni Chama Cha Mashetanihuyu mzee na yule mwingine mwamakula nawaonaga kama machizi fulani tu hivi wanaacha kuhubiri kila siku wako na mikutano ya chadema halafu unajiita askou kweli?waache kuchezea cheo cha askofu watakuwa kuni huko waendako
Ona aina nyingine hii ya kiazi! Angekuwa yuko pale ikulu na kumsifia yule mzanzibar using hoji ila kuisemea haki ni nongwa?huyu mzee na yule mwingine mwamakula nawaonaga kama machizi fulani tu hivi wanaacha kuhubiri kila siku wako na mikutano ya chadema halafu unajiita askou kweli?waache kuchezea cheo cha askofu watakuwa kuni huko waendako
Ishiiiii!Hii inaingia mpaka kwenye mifupa.
Hiyo ni trizoni miye simo.Kuiba kura
Huyu Askofu tangu aunge mkono uasi wa Askofu Mwaikali wa Jimbo la Konde, nimemtoa maanani.Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;
4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri zake zinatisha:
a. Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini.
b. Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi. Tunazo serikali nyingiiii barani Afrika zilizoiba kura na zinalaani wizi wa kura.
c. Kukalia kimya wizi wa kura, kuwezesha wizi wa kura, kukubali matokeo ya wizi wa kura ni uhaini. Uwiiiii, hata mimi ni mhaini maana nami nimo humu.
Jamani eh! Huu msimu na mwaka wa siasa. Tuvumiliane. Linaloshindikana, RUDI MEZANI. Kupigana mabomu ya kodi zetu wakati leo nimeenda hospitali nikakosa bandeji ya kufunga kidonda nilichopata jana nikikimbia mabomu, Siyo sawa.
“Bwana akawajibu, akasema, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele” (siyo mabomu)
Luka 19:40.
Kuhakikisha CCM inabaki madarakaniJeshi la polisi limejipanga kweli kweli.
Kwa hiyo...!!?Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana 😁🇹🇿
Endelea kupokea virunguKwa hiyo...!!?
Nyerere angekuwa na mawazo ya kijinga kama yako tungechelewa sn kupata uhuru, kwenda mahakamani kusikiliza kesi kosa lake ni nini?Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana 😁🇹🇿