johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Uko wapi muda huu keyboard master?ππΉπΏNyerere angekuwa na mawazo ya kijinga kama yako tungechelewa sn kupata uhuru, kwenda mahakamani kusikiliza kesi kosa lake ni nini?
Napita Argentina naelekea KisutuUko wapi muda huu keyboard master?ππΉπΏ
Na wewe upo humu jf wenzio humu mamod wa humu wapo kazini payroll inasoma. Au na wewe ni mod nini mkuu?Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana ππΉπΏ
Umevalia gwanda au gauni la kawaida? ππΉπΏNapita Argentina naelekea Kisutu
Wewe inakuhusu nini?Umevalia gwanda au gauni la kawaida? ππΉπΏ
Nataka tuwe jirani niko hapa Kona ya lumumba ππΉπΏWewe inakuhusu nini?
Pumbavu kwani umewahi kuwalisha kwa kukosa mapato!Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana ππΉπΏ
Nyerere huyu tunamtukuza sana lakini yeye ndo facilitator wa haya mamboNyerere angekuwa na mawazo ya kijinga kama yako tungechelewa sn kupata uhuru, kwenda mahakamani kusikiliza kesi kosa lake ni nini?
Covid-19 wanalishwa na nani? πΉπΏPumbavu kwani umewahi kuwalisha kwa kukosa mapato!
Kazi gani tena?Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana ππΉπΏ
Wanalishwa na vyombo vyao vya uzazi katikati ya mapaja yao!πCovid-19 wanalishwa na nani? πΉπΏ
ingekuwa hili wazo linafanyika kwa watuhumiwa wote mbona mambo yasinge kuwa mengi kwenye mahakama zetuKesi inasikilizwa kwa mtandao. Wakusanyike pale CHADEMA makao makuu na screen wafuatilie.
Sitaki ukaribu na mtu wa CCM yoyote maana ni washirikina snNataka tuwe jirani niko hapa Kona ya lumumba ππΉπΏ
Hiyo payrolll imelisha vijana wangapi? Hivi ukiulizwz vijana waliopo Tanzania na Zanzibar ni asilimia ngapi wamelishwa kwa payrolll unajua? Wewe kula ushibe ulale. Kula kulala.Unapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana ππΉπΏ
Lema anawadanganya ,hawajui kuwa anatunziwa mke na watotoUnapofukuzana na mapolisi mitaani ujue wenzako wako kazini payroll inasoma
Ahsanteni sana ππΉπΏ