Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

Mlitaka mmnange Lissu??, Ni haki yake kuongea hadharini alichokiongea Rais. Kwamba ndio sababu ya Mbowe kukutwa na kesi? Poor thinking capacity asee....
 
Yesu Kristo alisema maneno yetu yawe machache yaani Ndio au Siyo kwa maana maneno mengi yanatoka kwa yule mwovu.

Wakati mwingine hakunaga sababu ya kuweka hadharani mambo yaliyojadiliwa faraghani.

Maendeleo hayana vyama!
John unajuaje làbda alimconsult kuwa naweza kusema tulichojadiliana? Akasema Yes!
 
Mlitaka mmnange Lissu??, Ni haki yake kuongea hadharini alichokiongea Rais. Kwamba ndio sababu ya Mbowe kukutwa na kesi? Poor thinking capacity asee....
Diplomatic conversations hufanyika katika mazingira ya kuaminiana sana, mazungumzo baina ya mtu na rais huingia katika hadhi hii.

Moja ya masharti au mazingatio makuu ni SIRI!!
 
Yale mapingamizi ya utetezi yalikuwa yakitupwa hovyo licha ya uzito wake lengo likiwa ni kuwakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu ili mwisho wa siku wamfichie aibu Samia aliesema wana ushahidi mzito, hapa issue sio Lissu alisema nini au kufanya nini.

Tusiruhusu hisia zetu kutawala uhalisia.
 
Yesu Kristo alisema maneno yetu yawe machache yaani Ndio au Siyo kwa maana maneno mengi yanatoka kwa yule mwovu.

Wakati mwingine hakunaga sababu ya kuweka hadharani mambo yaliyojadiliwa faraghani.

Maendeleo hayana vyama!

Sasa Bwashee! wewe na huyo Askofu wako Bagonza, mlitaka Lissu afiche; kwani walikuwa wanatongozana na Mheshimiwa?

Kama walikuwa wanazungumzia masuala ya kawaida kabisa, na ya Kitaifa! Shida iko wapi kutoa mrejesho? Ulitaka afiche ili baadaye mje na propaganda uchwara za huyo Lissu "kununuliwa na ccm" kuwa ni "pandikizi la ccm", au!!

Binafsi naamini Mh. Lissu alikuwa yuko sahihi. Na uzuri siyo mtu wa kufagili unafiki na kujipendekeza. Hivyo namuunga mkono.

Siku zote haki haiombwi! Badala yake; inatafutwa/inapiganiwa.
 
Back
Top Bottom