Pre GE2025 Askofu Bagonza: Miaka mitano imepita lakini Dkt. Bashiru bado hana mpinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe aliyeleta uzi huu ni Bagonza!
 
Umeongozwa na akili za CCM.,Umetumia tumbo kufikiri kuliko kichwa.Nikuulize yafuatayo
1. Wewe ni mkristo?
2. Unajua kazi ya ASKOFU ipi?
3.Wajibu wa askofu katika jamii unauelewa?
4. Biblia na mahubiri ni asilimia ngapi katika wajibu wa askofu?
 
Kwani nchi hii askofu ni bagonza tuu? Hao wengine hawajui kazi yao ya uaskofu hadi hatuwaoni kwenye uanaharakati wa Chadema?
 
Kwani wapi imeandikwa mtumishi wa Mungu hapaswi kutoa maoni ya kisiasa anapoona inafaa? kwani hujui kama hao wanasiasa wana apa kwa kutumia Bibilia au Quran?
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake bila kujali dini au itikaji yoyote ili mradi havunji sheria za nchi. Kama hakuna sehemu kwenye katiba inakataza viongozi wa dini kuwa wanasiasa kwa sababu ndiyo inayoendesha taratibu zao za maisha, basi wanayo haki ya kufanya hivyo. Ni wajibu wa kiongozi yoyote awe wa dini au siasa kukemea uonevu na dhuluma aidha kati ya mtu na mtu au dola (serikali) na wananchi
 
NINGEKUTUKANA LAKINI NIMEKUPUUZIA. NANI ALIKWAMBIA WATUMISHI WA MUNGU SIASA HAZIWAHUSU? KASOME BIBLIA OVYO WW!
 
Kamanda Askofu Bagonza sijui anajiandaa kugombea jimbo gani? Sijui jimbo la Muleba, Nkenge au Bakawenshoni? Ngoja tusubiri tuone upepo unavyokwenda.
 
Kwani wapi imeandikwa mtumishi wa Mungu hapaswi kutoa maoni ya kisiasa anapoona inafaa? kwani hujui kama hao wanasiasa wana apa kwa kutumia Bibilia au Quran?
Kwani nchi hii askofu ni bagonza tuu? Hao wengine hawajui kazi yao ya uaskofu hadi hatuwaoni kwenye uanaharakati wa Chadema?

Yaani mmeishiwa hekima mpaka akili!!

Ebu tuorodheshee harakati za CHADEMA ambazo Baba Askofu anazifanya.

Hakika ninyi wanafikki wote mna miisho mibaya maana mmezikataa nafsi zenu kwa sababu ya tamaa ya kuutumikia uovu.
 
Usikute Cmd. Lucas Mwashambwa ni graduate mbobevu kabisa wa Havard law school au chuo fulani mashuhuri Ulaya cha political science.
Uchawa ni adui mkubwa sana wa maendeleo ya Tanzania.
Askofu, sheikh,daktari,mgonjwa,mwalimu,mwanafunzi,msomi, asiyesoma,mwenye akili, kilaza, wote wamo kwenye "uchawa".
 
Siasa za majitaka na uchawa. Kama anafaa si ampe kazi kanisani kwake amjue uzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…