LGE2024 Askofu Bagonza: Nawaomba radhi niliowahamasisha ili waende wakajiandikishe kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
nani akakosa ubunge gentleman?🤣

Gentleman,
unapotosha na kuwafunga kamba wadau mchana kweupe hivyo, halafu eti unakuja kunitishia na laana zako za kishirikiana, kweli? 🤣

unanitisha mimi mtumishi mwandamizi wa wananchi wa kata zaidi ya 20 nchini? halafu kabisaaaa nitishike na hawa wananchi wote zaidi ya laki3.5 wanatizama tu 🤣

Gentleman,
hapa nilipo ni kwa Neema na Baraka za Mungu. Sitikisiki wala sibabaiki na cheo au nafasi ya uongozi ndrugu wadau.

Itakua ni tamaa ya kiwango cha juu mno kuacha jukumu hili zito na muhimu zaidi la kutumikia wananchi na kubabaika na mihemko au makasiriko ya waliopoteza uelekeo 🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Wala hata asituombe radhi. Tarehe 27/11 tunaenda kupiga kura za HAPANA dhidi ya wagombea wa CCM waliopita bila kupingwa.
 
Jipige kifua huku ukisema ww ni kubwa jinga
 
Jipige kifua huku ukisema ww ni kubwa jinga
umeongea kwa mihemko na uchungu mkubwa sana gentleman mithili ya nyumbu alie jeruhiwa dah aiseeee?

kwahivyo wewe ni murevu ulibaki na ghadhabu tu bila pointi, right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…