johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msamaha wa dhambi tuliupata Calvary 🌹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Askofu wa Karagwe alisemaje kipindi kile cha uchaguzi wa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania, na ndipo akachaguliwa Askofu Dr.Alex Malasusa kwa kipindi cha pili kama Trump?🤣
Anaandika Askofu Bagonza kwa masikitiko makubwa juu ya zoezi la uandikishaji wapiga kura, mchakato wa kuchukuwa fomu, kurudisha fomu hadi kuenguliwa wagombea wa vyama vya upinzani.
Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu.
Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu wajiandikishe.
Kupata mijadala ya kila mkoa kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa:LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...www.jamiiforums.com
Wakaandikwa hata watakaofikisha miaka 18 miaka 5 ijayo. Idadi ya waliojiandikisha ikazidi ya wapiga kura.
Tanzania tuna miujiza kweli. Ghafla, uchaguzi “ukahairishwa” tukarudi tena kwenye mashindano ya kujaza fomu. CCM wameshinda tena. Wapeni maua yao. Lakini:
1. Nduguyo akikukosea muonye mkiwa wawili. Akikataa, chukua shahidi ukaonye tena. Akikataa liambie kanisa. Akikatalia kanisa, achana naye. Mwone kama mmataifa na mtoza ushuru (Mathayo 18:16-18). CCT, TEC na Bakwata wamesema tayari. Hata wasioomba wanaomba!
2. Wanyambo wana hekima isemayo; “Ukimwonya nduguyo ili afunike uchi wake akakataa, jiunge na wanaomcheka”. Nipo nacheka utadhani mazuri!
3. Tumemaliza ibada Musoma. Tumempata Mkurya mmoja akawa Askofu. Kofia ilitaka kugoma kuingia kichwani tukatamani tutafute ya jeshi. Yesu “aliyemteka” Mkurya akatii, kuna siku atawateka wanaokaidi maonyo ya kanisa lake kuhusu taifa.
4. Mgeni rasmi Prof John Kabudi, katupiga darasa ibadani. Ilani nzima ya chama chake imefunika mpaka wengine tukaondoka bila kula mchele. Katujulisha habari za BWAWA la umeme. Ahsante Prof LAKINI..
5. Watanzania hawa wanatamani Bwawa kubwa la kuzalisha Demokrasia. Bwawa hilo litalinda Bwawa la Umeme. Bila demokrasia wanaohujumu SGR watahamia kwenye umeme.
Mwanzo TV Plus
Pia soma: LGE2024 - Askofu Dr Bagonza: Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura, atakayeiba kura Dhambi ni zake na Wasipoiba Kura Utapata Kiongozi unayempenda!
View attachment 3154955View attachment 3154958hawa wote wamechukuliwa na ndio hayo mnayoita ni makosa yaliyofanywa na wapinzani eti.View attachment 3154957
Na wote wameteuliwa sababu wapo CCM, sasa hapo kuna uchaguzi zaidi ya upumbavuView attachment 3154955View attachment 3154958hawa wote wamechukuliwa na ndio hayo mnayoita ni makosa yaliyofanywa na wapinzani eti.View attachment 3154957
UWT huwa hamtaki kuambiwa ukweliHivi huyu Askofu wa Karagwe alisemaje kipindi kile cha uchaguzi wa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania, na ndipo akachaguliwa Askofu Dr.Alex Malasusa kwa kipindi cha pili kama Trump?🤣
Huyu Mzee huwa ana kinyongo mno na kujifanya mjuaji zaidi, ila ndiyo vile tu haelewekagi nje ya kadayosisi ka Karagwe na kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii..
kwingineko na miongni mwa maaskofu wenzake katika dhehebu lake huwa wanampuuza tu.
Anisamehe sana kwa kukumbusha na kusema ukweli huu. Tafadhali sana Baba Askofu 🐒
Na wote wakapitishwaAliyejaza fomu ya Olmokea na minazi mirefu ni mtu mmoja. 😛
Je ukikuta uliyetaka agombee jina lake, likaenguliwa? (Chadema ama ACT), Pia endapo ulijiandikisha halafu hukupiga kura nini kitakupataMwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu.
Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu wajiandikishe. Wakaandikwa hata watakaofikisha miaka 18 miaka 5 ijayo. Idadi ya waliojiandikisha ikazidi ya wapiga kura. Tanzania tuna miujiza kweli.
Ghafla, uchaguzi “ukahairishwa” tukarudi tena kwenye mashindano ya kujaza fomu. CCM wameshinda tena. Wapeni maua yao. Lakini:
1. Nduguyo akikukosea muonye mkiwa wawili. Akikataa, chukua shahidi ukaonye tena. Akikataa liambie kanisa. Akikatalia kanisa, achana naye. Mwone kama mmataifa na mtoza ushuru (Mathayo 18:16-18). CCT, TEC na Bakwata wamesema tayari. Hata wasioomba wanaomba!
2. Wanyambo wana hekima isemayo; “Ukimwonya nduguyo ili afunike uchi wake akakataa, jiunge na wanaomcheka”. Nipo nacheka utadhani mazuri!
3. Tumemaliza ibada Musoma. Tumempata Mkurya mmoja akawa Askofu. Kofia ilitaka kugoma kuingia kichwani tukatamani tutafute ya jeshi. Yesu “aliyemteka” Mkurya akatii, kuna siku atawateka wanaokaidi maonyo ya kanisa lake kuhusu taifa.
4. Mgeni rasmi Prof John Kabudi, katupiga darasa ibadani. Ilani nzima ya chama chake imefunika mpaka wengine tukaondoka bila kula mchele. Katujulisha habari za BWAWA la umeme. Ahsante Prof LAKINI..
5. Watanzania hawa wanatamani Bwawa kubwa la kuzalisha Demokrasia. Bwawa hilo litalinda Bwawa la Umeme. Bila demokrasia wanaohujumu SGR watahamia kwenye umeme.
6. Najiuliza: Waweza kuwa na taifa huru lisilo na watu huru? Na je waweza kuwa na watu huru katika taifa lisilo huru? Niliwahi jibu swali nikiwa darasa la sita, lisemalo “Afrika ni Bara Tajiri lenye watu maskini: Jadili kwa kutoa mifano. Majibu yangu yalisababisha nifukuzwe shule mwaka mzima. Apumzike kwa amani Mwalimu aliyenifukuza.
7. Nimalize tafakuri yangu kwa kutoa pole kwa wahanga wa Kariakoo. Nitoe pole kwa familia Mama Kibiki. Waliomuua “wameishakufa” hata kama wanatembea. Nitoe pole kwa wote walioenda kwenye uchaguzi wakaambulia mashindano ya kujaza fomu. Nitoe pole kwa wote wanaolazimika kucheka wakati moyoni wanatamani kulia.
Nawaomba radhi wote niliowahamasisha kwenda kujiandikisha ili wapige kura. Nilidanganywa nami nikawadanganya. Sitarudia tena.
Mungu wetu ana kazi kweli kweli. Mwizi wa Kura anamuomba afanikiwe kuiba. Mlinzi wa kura naye anakanyaga mafuta ili alinde kura zisiibiwe. Lakini HADHIAKIWI.
Naipenda nchi yangu hata kama kuna wanaonilazimisha niichukie. Hata mkiniteka, SIICHUKII NCHI YANGU.
kwamba Chadema imepasuka vipande vipande?UWT huwa hamtaki kuambiwa ukweli
YAMMBOWE MBONA HAMYASEMICCM kukuua mbele ya maslahi ni kitu cha kawaida sn
CHADEMNA NI WAHUN TU KAMA WALIVYO WAHUNI WENGINEkwamba Chadema imepasuka vipande vipande?
kuna kipande cha Singida, hicho ni cha makamu Mwenyekiti taifa, kuna kipande cha Dodoma na Arusha, walichogawana Lema na Kigaila Juzi,
Na kuna kipande cha dar es salaam na pwani ambacho Mrema na Mr midevu wanakipambania, huku huko tarime na rorya Wenje na Heche wamekita mizizi huko.
Mama Ima,
John Mnyika na Chairman hawana hata cha kuuma Chadema?🐒
Siku haipo mbali utakapotamani ardhi ipasuke uingieView attachment 3154955View attachment 3154958hawa wote wamechukuliwa na ndio hayo mnayoita ni makosa yaliyofanywa na wapinzani eti.View attachment 3154957
Unashangaa viongozi wa dini badala ya kuishangaa serikali inayowaalika viongozi wa dini kila tukio!Kwa hiyo huyo askofu alitaka fomu zisihahakiwe? Aache serikali ifanye kazi yake, km kazi ya uaskof imeshinda na anaona siasa ni rahisi aache uaskofu aingie kwenye siasa. Hv viongozi wa dini wanawashwa na nini mbn serikali hawaingilii wakifanya mapuuzi yao makanisani.
Umepanic au hujamwelewa?Kwa hiyo huyo askofu alitaka fomu zisihahakiwe? Aache serikali ifanye kazi yake, km kazi ya uaskof imeshinda na anaona siasa ni rahisi aache uaskofu aingie kwenye siasa. Hv viongozi wa dini wanawashwa na nini mbn serikali hawaingilii wakifanya mapuuzi yao makanisani.
Irrelevant, 🌈 unakwama wapi?Huyu Askofu ndiye pekee anae haribugi kura kwa makusudi kwenye chaguzi za mkuu wa kanisa la KKKT nchini. Huwa anatamani awe yeye ila ndiyo hivyo tena hakubaliki ni moshi mweusi tu 🤣
Huwa anakasirika sana, na hua anahisi anadhulumiwa na huwa anatamani sana uchaguzi wa Askofu mkuu wa kanisa la KKKT Tanzania usimamiwe na BAKWATA au Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania. Huwa hawaamini kabisa wasimamizi wa kanisa. Sifahamu kama kweli anamuamini hata Mungu 🤣
Baadhi ya Maaskofu wenzake humpamba kweli, kwamba yeye ndie anastahili kua Askofu mkuu wa KKKT Tanzania, Lakini wakifika kwenye uchaguzi wala hakuna alie na habari nae.
Mara nyingine husingizia ana safari ya ghafla mara tu baada ya kupiga kura ambayo huiandika madudu anayojua yeye ili tu kura hiyo iharibike.
Ana gubu na viongozi wa kuu wa kanisa lake, Lakini pia ana gubu na jinsi ambavyo serikali sikivu ya CCM inavyopeleka Maendeleo kwa wananchi kwa kasi ya ajabu...
Actually,
Anakubalika sana Karagwe na kwenye baadhi ya mitandaoni ya kijamii. Nje na hapo ni useless tu 🤣
Hapa unamaanisha kuwa wao wameiingilia serikali kwa vile imefanya maupuuzi yake?Kwa hiyo huyo askofu alitaka fomu zisihahakiwe? Aache serikali ifanye kazi yake, km kazi ya uaskof imeshinda na anaona siasa ni rahisi aache uaskofu aingie kwenye siasa. Hv viongozi wa dini wanawashwa na nini mbn serikali hawaingilii wakifanya mapuuzi yao makanisani.