Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

Kuwa na kifungu kinacholinda faragha za watu haimanishi watu waingiliane kinyume na maumbile,Lissu anawadanganya wajinga wengi kama wewe. Fanya ushoga wako ukikamatwa ndio utajua ni kosa pumbavu shoga wewe
Kachukue ujira wako Lumumba!
 
Askofu Bagonza anakijua kiapo cha askari polisi?
Askari yeyote yule anapaswa kutii amri halali. Siyo kila amri askari anapaswa kutii. Huwezi toa amri kwa askari et chukua bunduki weka risasi mtandike huyo mbele yako nawe ukatii amri ile. Huwezi toa amri kwa askari eti lala chini vua chupi panua miguu fumba macho nae akatii kwakuwa imetolewa na Mkuu.

Kiapo kikuu kwa askari ni kuhakikisha usalama wake askari wenziye na raia wema waliowazunguka.

Sasa ninyi ccm mmeigeuza Majeshi yetu kuwa silaha ya kuwaangamiza wale wote wenye mitizamo tofauti na ya kwenu bila kujali Haki ya kuishi ni ya kila mmoja/raia.
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Kutaja neno "AMANI" bila neno "HAKI" ni unafki uliopitiliza
 
Nyie chadema huwa mnapiga watu risasi ?
Dah!! We jamaa ni hatari sana kwa mustakabali wa usalama wa Nchi. Watu kama nyinyi ndio mnaopaswa kupigwa risasi kwa sababu hamna faida yoyote kwa jamii. Yaani wewe kila kitu unajitoa akili tu.
 
Safiii sana askofu........saut ya wanyonge isikike
 
Mgombea wa Chadema hakutetea ushoga akiwa Uingereza ?

Hayo ndio maovu mabaya
Acha uongo na kusingizia vitu visivyopo, elewa MUNGU anakuona,
Askofu anataka haki itawale wewe huoni maovuvu yanayofanywa na chama chako?
 
Safari hii tunataka haki kwanza. Subiri kesho na keshokutwa, utapata jibu. Kama haujapata kazi nyingine nje ya CCM, ushauri wangu ni kuwa anza kutafuta.

Kiongozi yeyote atakaye chaguliwa na Watanzania ataleta amani. Kuna amani Malawi, Rwanda, Zambia, nk lakini hakuna CCM. Msidanganye Watanzania eti bila CCM hakuna amani. Hakuna CCM Botswana, mbona kuna amani?
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
 
Kwa askari Hawa waliouza nafsi zao kwa ibilisi, usitegemee nasaha hii wataielewa sana. LA muhimu ni kuwaombea Mungu awabalishe na aruhusu mapenzi yake yatimie juu ya ardhi hii..
 
BARIKIWA SANA
 
Uchaguzi utakuwa huru na haki
Na ushindi wa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania ni zaidi ya 98%

Hivyo vimehemko vyenu vya siasa mwisho jumatano jioni, mihemuko ikizidi pita polisi utukane
 
Naona katika maelfu ya watu waliopo hapa, Magufuli atapata kura 4 - yako, Kawe Alumni, Jane Lowassa na Coch... Na hiyo ndio 98% kwa mahesabu yenu. Mmejaza JF na spam. Mnarudia kitu kile kile kwa miezi kadhaa. Mna copy na ku paste tu.
Uchaguzi utakuwa huru na haki
Na ushindi wa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania ni zaidi ya 98%

Hivyo vimehemko vyenu vya siasa mwisho jumatano jioni, mihemuko ikizidi pita polisi utukane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…