DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Great thinker Bagonza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura haina maana mimi nataka pamwagwe makontena ya silaha
Kachukue ujira wako Lumumba!Kuwa na kifungu kinacholinda faragha za watu haimanishi watu waingiliane kinyume na maumbile,Lissu anawadanganya wajinga wengi kama wewe. Fanya ushoga wako ukikamatwa ndio utajua ni kosa pumbavu shoga wewe
Askari yeyote yule anapaswa kutii amri halali. Siyo kila amri askari anapaswa kutii. Huwezi toa amri kwa askari et chukua bunduki weka risasi mtandike huyo mbele yako nawe ukatii amri ile. Huwezi toa amri kwa askari eti lala chini vua chupi panua miguu fumba macho nae akatii kwakuwa imetolewa na Mkuu.Askofu Bagonza anakijua kiapo cha askari polisi?
Kutaja neno "AMANI" bila neno "HAKI" ni unafki uliopitilizaAskofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Hakuna mtu anaruhusu halafu mimi Sina Chama
Kutaja neno "AMANI" bila neno "HAKI" ni unafki uliopitiliza
Dah!! We jamaa ni hatari sana kwa mustakabali wa usalama wa Nchi. Watu kama nyinyi ndio mnaopaswa kupigwa risasi kwa sababu hamna faida yoyote kwa jamii. Yaani wewe kila kitu unajitoa akili tu.
Katiba ya nchi inasemaje juu ya ushoga?
papa ameshapitisha soon roman catholic nao watawasupport mashoga coz nao ni viumbe wa Mungu sijui unalionaje hili?
Acha uongo na kusingizia vitu visivyopo, elewa MUNGU anakuona,
Askofu anataka haki itawale wewe huoni maovuvu yanayofanywa na chama chako?
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Hao wanatetewa na serikali ya ccm
BARIKIWA SANAKWA VYOMBO VYA ULINZI
Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre 4/4/1942 na kuteuliwa kuwa Askofu Mkuu 1977. Alikufa kwa kupigwa risasi akiwa altareni akiadhimisha misa ya Sakramenti ya Meza ya Bwana. Muuaji wake, kachero wa serikali, aliingia kanisani kupitia mlango wa nyuma ya Kanisa na kumlenga kwa ustadi mkubwa wakati Askofu Mkuu Romero akiwa ameinua juu kikombe (chalice) cha divai kama ishara ya damu ya Kristo.
Baba Mtakatifu Francis alimtangaza Askofu Romero kuwa mfia dini.
Siku hiyo kabla ya kifo chake, alitoa ujumbe huu kwa vyombo vya ulinzi;
"Kaka zetu na ndugu zetu, mmetoka kwetu na mtarudi kwetu. Mnawaua ndugu zenu. Amri yoyote ya kibinadamu inayoagiza kuua ni batili
maana inajiweka juu ya amri ya Mungu isemayo USIUE. Hakuna Askari aliye juu ya Mungu na Askari halazimiki kutii amri iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu. Hakuna anayelazimika kutii amri yenye dhambi ndani yake. Imewapasa maaskari kutii dhamiri hai za kimsingi zilizo ndani yao kuliko kutii amri batili.
Kanisa haliwezi kukaa kimya likiona amri za Mungu zinavunjwa na amri za wanadamu zinaheshimiwa, USIUE au USIIBE. KWA JINA LA MUNGU na kwa Jina la watu wanaoteseka na sauti zao kusikika mbinguni, ninawaamuru na kuwasihi, ACHA UKANDAMIZAJI, ACHA MAUAJI, ACHA DHULUMA".
Askofu Oscar Romero anaongea na wote waliokabidhiwa dhamana ya kulinda uhai wetu. Uamuzi wa kumtii Mungu uko katika vidole vilivyo jirani na kitufe kinachoruhusu risasi na mabomu. MSIKILIZE MUNGU PEKE YAKE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Safari hii tunataka haki kwanza. Subiri kesho na keshokutwa, utapata jibu. Kama haujapata kazi nyingine nje ya CCM, ushauri wangu ni kuwa anza kutafuta.
Kiongozi yeyote atakaye chaguliwa na Watanzania atalema amani. Kuna amani Malaiw, Rwanda, Zambia, nk lakini hakuna CCM. Msidanganye Watanzania eti bila CCM hakuna amani. Hakuna CCM Botswana, mbona kuna amani?
Uchaguzi utakuwa huru na haki
Na ushindi wa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania ni zaidi ya 98%
Hivyo vimehemko vyenu vya siasa mwisho jumatano jioni, mihemuko ikizidi pita polisi utukane
Nasikia huyo ni Mwigulu Nchemba anatumia fake accountBia yetu umelaaniwa aisee.