Hivi ushoga uko tangu lini je wewe unayejifanya unauchukia ushoga umefanya nini kuuondoa je kisa cha sodoma na gomora kingeweza kuufanya ushoga ufike mwisho je ilikuwa hivyo jiulize kwanini mpaka sasa bado upo.we binadamu usipende kuwapa wengine lawama za mapungufu yako hii ni dunia na itakuwa hivyo maana yako mambo ambayo yanakuja na kuondoka hata hili litaondoka kwa nji zilezile maana ungekuwa hodari ungeshalimaliza lakini kumbe na wewe @@@@@@@@@@@@ bac sawaMbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Siri-kali ya ccm inatambua na kuutetea ushoga, waliweka wazi hilo na walimkana makonda alipoendesha msako wa mashoga DarNo Ccm haitambui mashoga nakumbuka mgombea mmoja anatetea kutoka pale ufipa
Siri-kali ya ccm inatambua na kuutetea ushoga, waliweka wazi hilo na walimkana makonda alipoendesha msako wa mashoga Dar
Hivi ushoga uko tangu lini je wewe unayejifanya unauchukia ushoga umefanya nini kuuondoa je kisa cha sodoma na gomora kingeweza kuufanya ushoga ufike mwisho je ilikuwa hivyo jiulize kwanini mpaka sasa bado upo.we binadamu usipende kuwapa wengine lawama za mapungufu yako hii ni dunia na itakuwa hivyo maana yako mambo ambayo yanakuja na kuondoka hata hili litaondoka kwa nji zilezile maana ungekuwa hodari ungeshalimaliza lakini kumbe na wewe @@@@@@@@@@@@ bac sawa
Polisi huchochea vurugu kutimiza mafunzo waliyoyapata.Askofu Bagonza anakijua kiapo cha askari polisi?
unajua maana ya kunukuu!Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Nakushauri jitafakari na ujielewe! Ungekuwa na akili sawasawa usingeandika huu upuuzi wako!Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Mkemee na huyu Pope; soma hii hapa Pope Francis Supports Same-Sex Civil Unions, but the Church Must Do MoreMbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Ccm mnapenda Sana kuhubiri amani...HUKU mmeficha mapanga,viunoni mwenu...MNASHINDWA KUHUBIRI HAKI AMBAYO NDIYO MSINGI WA AMANI...KILE MNACHOKISHINDWA KUKIHUBIRI(HAKI),NDIO KINAWEZA KIKAHATARISHA AMANI YA NCHI...HUBIRINI HAKI TENDENI HAKI,AMANI ITAKUWA YA KUDUMU NA MUNGU ATAIBARIKI NCHI NA UZAO WAKE...Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Ameitaja Chadema hapo? Umelaaniwa wewe na uzao wako!But Askofu kama kweli Wewe ni mshauri Kwanini unapenda kuegemea Chadema tu?
Unamaanisha Chadema ndio hawakosei ?
Mbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Elfu 3 anayopewa kwa siku ,jumlisha balimi mbili pale lumumba ndio zmempofusha macho na akili...Huyu jamaa ana tatizo la akili, ni wa kuonewa huruma.
Ccm mnapenda Sana kuhubiri amani...HUKU mmeficha mapanga,viunoni mwenu...MNASHINDWA KUHUBIRI HAKI AMBAYO NDIYO MSINGI WA AMANI...KILE MNACHOKISHINDWA KUKIHUBIRI(HAKI),NDIO KINAWEZA KIKAHATARISHA AMANI YA NCHI...HUBIRINI HAKI TENDENI HAKI,AMANI ITAKUWA YA KUDUMU NA MUNGU ATAIBARIKI NCHI NA UZAO WAKE...
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Askofu Bagonza hana tofauti kabisa na Nabii TittoKWA VYOMBO VYA ULINZI
Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre 4/4/1942 na kuteuliwa kuwa Askofu Mkuu 1977. Alikufa kwa kupigwa risasi akiwa altareni akiadhimisha misa ya Sakramenti ya Meza ya Bwana. Muuaji wake, kachero wa serikali, aliingia kanisani kupitia mlango wa nyuma ya Kanisa na kumlenga kwa ustadi mkubwa wakati Askofu Mkuu Romero akiwa ameinua juu kikombe (chalice) cha divai kama ishara ya damu ya Kristo.
Baba Mtakatifu Francis alimtangaza Askofu Romero kuwa mfia dini.
Siku hiyo kabla ya kifo chake, alitoa ujumbe huu kwa vyombo vya ulinzi;
"Kaka zetu na ndugu zetu, mmetoka kwetu na mtarudi kwetu. Mnawaua ndugu zenu. Amri yoyote ya kibinadamu inayoagiza kuua ni batili
maana inajiweka juu ya amri ya Mungu isemayo USIUE. Hakuna Askari aliye juu ya Mungu na Askari halazimiki kutii amri iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu. Hakuna anayelazimika kutii amri yenye dhambi ndani yake. Imewapasa maaskari kutii dhamiri hai za kimsingi zilizo ndani yao kuliko kutii amri batili.
Kanisa haliwezi kukaa kimya likiona amri za Mungu zinavunjwa na amri za wanadamu zinaheshimiwa, USIUE au USIIBE. KWA JINA LA MUNGU na kwa Jina la watu wanaoteseka na sauti zao kusikika mbinguni, ninawaamuru na kuwasihi, ACHA UKANDAMIZAJI, ACHA MAUAJI, ACHA DHULUMA".
Askofu Oscar Romero anaongea na wote waliokabidhiwa dhamana ya kulinda uhai wetu. Uamuzi wa kumtii Mungu uko katika vidole vilivyo jirani na kitufe kinachoruhusu risasi na mabomu. MSIKILIZE MUNGU PEKE YAKE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Kondoo ndio sisi wapiga kura asiposema Yeye hata mawe yatasemaAskofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu
Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili
Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Do you think you have ownership of this country that others have no right to air their views on what is right and what is wrong
Anakusalimia jamaa wenuHakuna maovu yeyote ila kuna mgombea fulani alitetea ushoga hayo ndio maovu na laana