Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

Mbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Hivi ushoga uko tangu lini je wewe unayejifanya unauchukia ushoga umefanya nini kuuondoa je kisa cha sodoma na gomora kingeweza kuufanya ushoga ufike mwisho je ilikuwa hivyo jiulize kwanini mpaka sasa bado upo.we binadamu usipende kuwapa wengine lawama za mapungufu yako hii ni dunia na itakuwa hivyo maana yako mambo ambayo yanakuja na kuondoka hata hili litaondoka kwa nji zilezile maana ungekuwa hodari ungeshalimaliza lakini kumbe na wewe @@@@@@@@@@@@ bac sawa
 
Ccm haina sera ya ushoga, ila hao watu walitetewa na watu kutoka ubeligiji
Siri-kali ya ccm inatambua na kuutetea ushoga, waliweka wazi hilo na walimkana makonda alipoendesha msako wa mashoga Dar
 
Chadema msitake kuhalalisha ushoga kwa kisingizo cha sodoma

Ushoga haikubaliki Tanzania
Hivi ushoga uko tangu lini je wewe unayejifanya unauchukia ushoga umefanya nini kuuondoa je kisa cha sodoma na gomora kingeweza kuufanya ushoga ufike mwisho je ilikuwa hivyo jiulize kwanini mpaka sasa bado upo.we binadamu usipende kuwapa wengine lawama za mapungufu yako hii ni dunia na itakuwa hivyo maana yako mambo ambayo yanakuja na kuondoka hata hili litaondoka kwa nji zilezile maana ungekuwa hodari ungeshalimaliza lakini kumbe na wewe @@@@@@@@@@@@ bac sawa
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
unajua maana ya kunukuu!
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Nakushauri jitafakari na ujielewe! Ungekuwa na akili sawasawa usingeandika huu upuuzi wako!
Umesoma haya maandiko? Umeyaelewa? Kuna tatizo la haya maandiko? Si yanahimiza amani?
Sali sana ili Mola akujaalie hekima, busara na akili japo kdg uweze kujitambua
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Ccm mnapenda Sana kuhubiri amani...HUKU mmeficha mapanga,viunoni mwenu...MNASHINDWA KUHUBIRI HAKI AMBAYO NDIYO MSINGI WA AMANI...KILE MNACHOKISHINDWA KUKIHUBIRI(HAKI),NDIO KINAWEZA KIKAHATARISHA AMANI YA NCHI...HUBIRINI HAKI TENDENI HAKI,AMANI ITAKUWA YA KUDUMU NA MUNGU ATAIBARIKI NCHI NA UZAO WAKE...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
But Askofu kama kweli Wewe ni mshauri Kwanini unapenda kuegemea Chadema tu?

Unamaanisha Chadema ndio hawakosei ?

Mbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Ameitaja Chadema hapo? Umelaaniwa wewe na uzao wako!
 
Haki ni kama asali ukionja utatamani hata wanaume kwa wanaume waoane useme ni haki

Kila kitu kina limit
Ccm mnapenda Sana kuhubiri amani...HUKU mmeficha mapanga,viunoni mwenu...MNASHINDWA KUHUBIRI HAKI AMBAYO NDIYO MSINGI WA AMANI...KILE MNACHOKISHINDWA KUKIHUBIRI(HAKI),NDIO KINAWEZA KIKAHATARISHA AMANI YA NCHI...HUBIRINI HAKI TENDENI HAKI,AMANI ITAKUWA YA KUDUMU NA MUNGU ATAIBARIKI NCHI NA UZAO WAKE...

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
KWA VYOMBO VYA ULINZI

Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu tarehe 14/10/2018. Askofu Romero alizaliwa 15/8/1917 na kufariki 24/3/1980. Alipadrishwa kuwa Padre 4/4/1942 na kuteuliwa kuwa Askofu Mkuu 1977. Alikufa kwa kupigwa risasi akiwa altareni akiadhimisha misa ya Sakramenti ya Meza ya Bwana. Muuaji wake, kachero wa serikali, aliingia kanisani kupitia mlango wa nyuma ya Kanisa na kumlenga kwa ustadi mkubwa wakati Askofu Mkuu Romero akiwa ameinua juu kikombe (chalice) cha divai kama ishara ya damu ya Kristo.

Baba Mtakatifu Francis alimtangaza Askofu Romero kuwa mfia dini.

Siku hiyo kabla ya kifo chake, alitoa ujumbe huu kwa vyombo vya ulinzi;

"Kaka zetu na ndugu zetu, mmetoka kwetu na mtarudi kwetu. Mnawaua ndugu zenu. Amri yoyote ya kibinadamu inayoagiza kuua ni batili
maana inajiweka juu ya amri ya Mungu isemayo USIUE. Hakuna Askari aliye juu ya Mungu na Askari halazimiki kutii amri iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu. Hakuna anayelazimika kutii amri yenye dhambi ndani yake. Imewapasa maaskari kutii dhamiri hai za kimsingi zilizo ndani yao kuliko kutii amri batili.

Kanisa haliwezi kukaa kimya likiona amri za Mungu zinavunjwa na amri za wanadamu zinaheshimiwa, USIUE au USIIBE. KWA JINA LA MUNGU na kwa Jina la watu wanaoteseka na sauti zao kusikika mbinguni, ninawaamuru na kuwasihi, ACHA UKANDAMIZAJI, ACHA MAUAJI, ACHA DHULUMA".

Askofu Oscar Romero anaongea na wote waliokabidhiwa dhamana ya kulinda uhai wetu. Uamuzi wa kumtii Mungu uko katika vidole vilivyo jirani na kitufe kinachoruhusu risasi na mabomu. MSIKILIZE MUNGU PEKE YAKE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Askofu Bagonza hana tofauti kabisa na Nabii Titto
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako

Do you think you have ownership of this country that others have no right to air their views on what is right and what is wrong
 
Kondoo ndio sisi wapiga kura asiposema Yeye hata mawe yatasema
 
Huyo askofu asubirie sadaka tu kanisani, mambo ya vyombo vya ulinzi Ni makubwa kuliko hako kaubongo kake.
 
That's not my concerns, myself,I think Bishop' s views is wrong

Pointing to Securities with no evidence is totally unacceptable
Do you think you have ownership of this country that others have no right to air their views on what is right and what is wrong
 
Hakuna maovu yeyote ila kuna mgombea fulani alitetea ushoga hayo ndio maovu na laana
Anakusalimia jamaa wenu
20201026_152723.jpg
 
Back
Top Bottom