Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Sisi ambao hatukujishughulisha na chochote tuna furaha
 
Askofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake

Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Ukitaka tuanze kuhoji PhD tutafika mbali mkuu,kuwa na PhD hakumuondolei mtu haki ya kuwa/kutoa maoni kama mwananchi yeyote yule.
Kwa comment yako,unachotaka kumaanisha ukiwa na PhD unahitaji kufanyia research kila jambo?
 
Bagonza nagonza ebitagonzwa, akitaka siasa kwake si hasa, akitaka utamu wa ngoma si aingie acheze, aone mchezo wake.
Nawashauri watumishi was Mungu Bagonza akiwemo, mchezo wa siasa una kujeluhiana kwingi ninyi kaeni kutuombea tusimalizane pili mgange majeraha ya walioumizwa, msimwagie mafuta moto kwa sababu mna watu wanaowaamini muwaongoze kuitafuta amani a furaha anayo itaja Vinginevyo hamtatofautiana na watumishi wa Mungu waliobeba bunduki ndani ya kanzu zao na kuwakusanya waumini wao wakawateketeza makanisani mwao Nchini Rwanda 1994.
 
Furaha ni tunda la roho
Sisi tumeambiwa furahini Siku zote tena a asema furahini
Upole wenu ujulikane na watu wote Bwana (Kristo) yu karibu.
Kwa haraka haraka utagundua furaha uambatana na upole ukitia ukali unapata matokeo ya tofauti.
Ngoja niendelee kusoma biblia naona una jumbe konki sana kwa watu wa zama hizi
 
Ukitaka tuanze kuhoji PhD tutafika mbali mkuu,kuwa na PhD hakumuondolei mtu haki ya kuwa/kutoa maoni kama mwananchi yeyote yule.
Kwa comment yako,unachotaka kumaanisha ukiwa na PhD unahitaji kufanyia research kila jambo?
PhD za viongozi wa makanisa huwa nyingi haziheshimiki ba sababu inayosababisha na watu wenye PhD za makanisani Kama akina Bagonza.Ukikutana na mtu mwenye PhD wa fani zisizo za makanisani anaongea kwa takwimu na evidence verifiable.Hizi PhD za viongozi wa makanisa nyingi Ni za urembo tu za kutundika ukutani .Wanaozitoa wanavipa vichwa vitupu.Wanavalisha kofia ya PhD kwenye kichwa kitupu kisicho na kitu kwenye ubongo
 
Askofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake

Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
Wee kijana jibu hii hoja
IMG-20191125-WA0077.jpeg
 
Kaa kimya wewe
Bagonza nagonza ebitagonzwa, akitaka siasa kwake si hasa, akitaka utamu wa ngoma si aingie acheze, aone mchezo wake.
Nawashauri watumishi was Mungu Bagonza akiwemo, mchezo wa siasa una kujeluhiana kwingi ninyi kaeni kutuombea tusimalizane pili mgange majeraha ya walioumizwa, msimwagie mafuta moto kwa sababu mna watu wanaowaamini muwaongoze kuitafuta amani a furaha anayo itaja Vinginevyo hamtatofautiana na watumishi wa Mungu waliobeba bunduki ndani ya kanzu zao na kuwakusanya waumini wao wakawateketeza makanisani mwao Nchini Rwanda 1994.
 
Huyu askofu akachukue fomu pale ufipa aingie mazima, asihangaike na matamko yake ya kinjaa njaa, amekua askofu wa matamshi sijui anasali sangapi uyu mpinzani wa Dini na siasa
 
Pengo nae afanyeje?? Acha kuwa sigara Kali wewe
Huyu askofu akachukue fomu pale ufipa aingie mazima, asihangaike na matamko yake ya kinjaa njaa, amekua askofu wa matamshi sijui anasali sangapi uyu mpinzani wa Dini na siasa
 
Asante Bishop Bagonza, neno la hekima ni mkuki wa sumu kwa dhalimu, linawatesa linawaumiza,wacha wafanye tafakari,pamoja na kibaraka wao rais wa hovyo TEC.
 
Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
 
Back
Top Bottom