Wewe ndugu unafuraha ya ukweli??PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndugu unafuraha ya ukweli??PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
Uzuri huwa hawakawiii kuishiwa pumzi na kukimbiaSiku hizo wapo wengi!
Nani anayetamani kuhudumia watu wenye njaa,huzuni.ni ccm tu ndowanaweza Fanya hivyo .achan baba askofu aseme msiyoyaina vipofu ccm nyieAskofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Ukitaka tuanze kuhoji PhD tutafika mbali mkuu,kuwa na PhD hakumuondolei mtu haki ya kuwa/kutoa maoni kama mwananchi yeyote yule.Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
🤣😅😂! Hii pumba uliyoandika hapa ni utafiti tosha ya kwamba huna furaha! Umeghadhibika kuona ukweli ukisemwa na Askofu Dr Bagonza!PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
PhD za viongozi wa makanisa huwa nyingi haziheshimiki ba sababu inayosababisha na watu wenye PhD za makanisani Kama akina Bagonza.Ukikutana na mtu mwenye PhD wa fani zisizo za makanisani anaongea kwa takwimu na evidence verifiable.Hizi PhD za viongozi wa makanisa nyingi Ni za urembo tu za kutundika ukutani .Wanaozitoa wanavipa vichwa vitupu.Wanavalisha kofia ya PhD kwenye kichwa kitupu kisicho na kitu kwenye ubongoUkitaka tuanze kuhoji PhD tutafika mbali mkuu,kuwa na PhD hakumuondolei mtu haki ya kuwa/kutoa maoni kama mwananchi yeyote yule.
Kwa comment yako,unachotaka kumaanisha ukiwa na PhD unahitaji kufanyia research kila jambo?
Wee kijana jibu hii hojaAskofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake
Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
Bagonza nagonza ebitagonzwa, akitaka siasa kwake si hasa, akitaka utamu wa ngoma si aingie acheze, aone mchezo wake.
Nawashauri watumishi was Mungu Bagonza akiwemo, mchezo wa siasa una kujeluhiana kwingi ninyi kaeni kutuombea tusimalizane pili mgange majeraha ya walioumizwa, msimwagie mafuta moto kwa sababu mna watu wanaowaamini muwaongoze kuitafuta amani a furaha anayo itaja Vinginevyo hamtatofautiana na watumishi wa Mungu waliobeba bunduki ndani ya kanzu zao na kuwakusanya waumini wao wakawateketeza makanisani mwao Nchini Rwanda 1994.
Wee kijana jibu hii hojaView attachment 1272005
Unaifahamu sigara kali??Bwana Mrema anaumia kuona ruzuku ya chama inaenda kukatika mwakani
Sijui atakula wapi
Huyu askofu akachukue fomu pale ufipa aingie mazima, asihangaike na matamko yake ya kinjaa njaa, amekua askofu wa matamshi sijui anasali sangapi uyu mpinzani wa Dini na siasa
Mbona mnawataka waombee mikutano ya siasa?Wakisema ukweli wanachanganya dini na siasa, mkuu hivi vitu huwezi kuvitenganishaAskofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo