Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Video inajitosheleza!
Video inajitosheleza!
Sasa hivi wanatunguliwa kila kona ila wametia pamba masikioni.anawatungua
Vijana wajiajiri-- ndo kauli yao ila wao wamateuwana tuWatawala wanataka kuiba mali za umma wao na uzao wao wote, hakuna pesa ya bure zaidi ya mali ya umma, Majaliwa yupo kwenye system tangu 1990 wengi tulikuwa hatujazaliwa lakini bado anataka ubunge aendelee kupiga pesa za wajinga haridhiki na pension hata kidogo
Kwanza jamaa hawataki kutoa elimu bora watu waelimike wanataka kutoa graduate tegemezi wasio na ujuzi wala maarifa na watoto wao wanasoma nje wanarudi kupiga pesa za wajinga kwa miradi fakeMadaraka na Vyeo vya kisiasa kwao ndio kila kitu, ndio maisha na uhai kwao. Kuyakosa hayo madaraka kwao wanaona Kama ni kukosa uhai.
Ndio maana unaona kwamba, kuunda Taasisi imara za kiutawala ambazo ni Huru kama vile Kuunda Tume ya Uchaguzi yenye Uhuru kamili kwao wanaona Kama hilo ni Tangazo la Kifo!
Anakwambia ujuzi unapatikana VETA lakini hakuna mtoto wake wala ndugu yupo VETA hata wa dawaVijana wajiajiri-- ndo kauli yao ila wao wamateuwana tu
Anakwambia ujuzi unapatikana VETA lakini hakuna mtoto wake wala ndugu yupo VETA hata wa dawa
Mzee faba snHatari sana aisee