Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
 
Hakuna mtumishi aliyempigia, kuna viongozi walifanya ujambazi wa kupora kura
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mtumishi aliyempigia, kuna viongozi walifanya ujambazi wa kupora kura
Watu wakikwambia andamana ili kudai haki iliyodhulumiwa lakini wewe ukaona hayo ni ya wengine na upo salama au huwezi kupoteza muda na vitu visivyokuhusu basi jua kwamba ya kwako yanaandaliwa na yakikufika utalia peke yako.
 
Mithali28:16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.- Bible App - Swahili OneLink.To

Nia ni njema kwa kada nyeti mkataba wa ajira uboreshwe yawepo mashariti magumu muda. Japo hili nalo nimesaidia kuwakumbusha Watawala kuboresha maslahi watumishi.
 
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi! Ukiona hivyo ujue yupo safi. kwanini asiti kujitokeza
 

Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.

Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.

Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…