kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,351
Unamaanisha Daktari akamatwe!?Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Unamaanisha Daktari akamatwe!?Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
fata maneno yake na si matendo yake coz hata yy ni mwanadamu na si malaika mkuu ushawahi kwann Yesu aliondoka duniani kwny miaka ya 30's,najua mnajuta kumpa urais kada mwenzenu😂😂😂😂Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Wacha kutetea udikteta, kila mtu ana haki ya kufanya kazi popote kwa mapenzi yake na hatakiwi kupangiwa na yeyote, na hata vibali wanavyopewa madaktari vinawataka kufanya kazi hospitali zote iwe binafsi au za serikali.Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Kwani akihamia sekta binafsi huo mkopo haulipiki? Si utaratibu upo.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Tatizo unawaza Karibu. Siku hizi tena hao madaktari wengi walisoma private schools kuanzia chekechea mpaka F6 na Chuo kama ni private hawapewi mkopo wote Drs na Kozi nyinginezo hawapewi hata cent. Tatizo mmemko imezidi sana siku hizi. Tufikirie kabla ya kuongea. Sasa Padre ameuliza waliosomeshwa na kanisa au taasisi nyinginezo na wakatimkia serikalini nani wa kufungia hiyo hospital ya serikali? Swali zuri sana hilo na muulizaji ana akili kubwa.Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
fata maneno yake na si matendo yake coz hata yy ni mwanadamu na si malaika mkuu ushawahi kwann Yesu aliondoka duniani kwny miaka ya 30's,najua mnajuta kumpa urais kada mwenzenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeleke mahakamani. Nani alikwambia viongoz wote wa kiimani wana hilo tatizo?
Unzinzi wa mtu na kukosoa ni mambo mawili tofauti.
Mbona had malaya wanaojiuza wanakosoa siku iz?
Tunataka Tamko la mkuluuu hakuna korona hahahahahahaaaaYes.
USISAHAU:
Kuvaa barakoa, kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Wapo ndio waliosomeshwa na kanisa kuanzia nursery hadi elimu ya juuSerikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile y
HahahahhahahahahahahahVijana wa lumumba akiri zilishahamia kwenye makalio!
Siku izi kuna watoto wanasoma private toka chekechea mpaka universitySerikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Kwani primary huwezi someshwa na kanisa?Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Uko wrong mkuu. Uwe government uwe private loarn board wanakufikia na mkopo unalipa 15% ya mshahara. Kinachoonekana hapo thinking ya magu ni ndogo imezidiwa na emotions. Hivi kwenye hospital binafsi dactari anaowatibu sio watanzania?Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
KHuyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Kuna watu wao ni kuunga mkono kila jamboSiku izi kuna watoto wanasoma private toka chekechea mpaka university