Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Kanisa linapata misamaha mingi ya kodi kutoka serikalini. Na kanisa ni kwa ajili ya kutoa huduma! Ni jambo la kushangaza kanisa kukereka kwa mtu aliyesomeshwa na ruzuku za serikali( misamaa ya kodi za serikali kwa kanisa) kwenda kufanya kazi ya kutoa huduma serikalini. Inasemekana pia baadhi ya hospitali zianzosimamiwa na kanisa matabibu baadhi ulipwa na serikali mishahara.

Baba Askofu, hapa viwango vimeshuka! Vipandishe tafadhali.
Huna akili wewe, madakatari wote wanaolipwa na serikali huko kwenye hospital za kanisa

Nikanuni ambayo serikali imeweka ilikumonitor na kusaidia kutoa huduma kwa jamiii.
kwakuwa hizo hospitali zilijengwa na watu wa kanisa...Hata Muhimbili Ni ya walutheri.....
 
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Bado hujajibu hoja. Makanisa yanamili toka chekechea hadi vyuo vikuu. Je ikitokea mtu kasoma toka chekechea hadi chuo bila kupitia serikalini kisha akaamua kufanya kazi serikalini iweje?
 
Kwisha kabisa yaani mzinzi anasimama kwenye mimbari madhabauni nawe unamfuata!
Unaushahidi kuwa ni mzinzi? Tukikwambia ulete evidence ya unzinzi wake unao?

Halaf usijarib kuhamisha mada kwenye unzinzi. Uzinzi ni mambo ya faragha.
Haikufungi mdomo kukuosoa. Unzinzi ungekuwa unafanya watu wanakuwa mabubu.. leo bungeni kusingekuwepo na mtu anaeweza kuongea.
 
Hivi serikali inasomesha watu siku hizi? Nini hasa maana ya mikopo?
 
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Ambacho unajifanya hujui ni kwamba hizo gharama zote huko primary na sekondari ni kodi mbalimbali wanazolipa wananchi. Serikali haina hata senti tano humo, na pia hao watendaji wote wa serikali wanalipwa kwa kodi za hawa hawa wananchi.
 
Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Unampangia mtu cha kusema? Uoga wako kaa nao huko huko kwenu, huyo ni msemaji wa wanyonge...
 
Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Unadhani wanaume wa bara ni waoga kama wa daresalaam? Uoga umekutawala sana nyie ndiyo wale ukimwona mtu anachomwa sindano unaanza kulia wewe badala ya mhusika.
 
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?

Yan umewaza ukamaliza ukaamua kuandika hichi ulichoandika ? this country has a long way to go......
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.

Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.

Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kila mnufaika wa mkopo wa elimu analipa kupitia mshahara wake. Aliyekwambia ukiwa kampuni binafsi hulipi mkopo wako ni nani?
 
Kama mimi ningekuwa kiongozi wa dini ningejiepusha mno na maswala kama haya.
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.

Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.

Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kwamba haujui taratibu za kulipa mkopo wa elimu Tanzania?
 
Ndio mjifunze na mkome kabisa kumpa madaraka ya Urais mtu aliyetokea katika familia yenye ufukara uliotukuka.
Watu wengi waliofanikiwa kwa shida (tena uzeeni) Wana roho za kishetani kuliko shetani mwenyewe.
Aiseeee !!
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.

Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.

Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kwani huko alipo harudishi gharama alizosomeshewa?
 
Kwamba haujui taratibu za kulipa mkopo wa elimu Tanzania?
Natumaini hamkumwelewa. Ni hivi wewe umepata kazi serikalini wako ambao wamekosa unaajiriwa halafu unakimbia ajira. Lakini kama umemaliza na wala hukuangaika kutafuta kazi serikalini hakuna atakaye kufuatilia utakumbana na deni lako hukohuko uliko. Lakini umeajiriwa serikalini umechukua mshahara umechukua na malipo ya kituo cha kazi halafu unaacha kisolemba huo ni uhuni na wizi. Kwa nini tangu mwanzo usiache kuajiriwa kwa sababu ya mshahara mdogo.
 
Hata sikuelewi ongeza sauti tafadhali.
 
Back
Top Bottom