Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Swala sio kusomeshwa na kanisa au nani; kwanza baada ya kusoma ukaona kazi yenyewe aikufai ulazimishwi.
Issue ni kuitikia wito mpaka unafikia kuwa askofu, unakubali kupokea kanisa uongoze waumini; halafu unaingia mitini bila ya kuwataarifu wenzako walau wapate replacement kwanza.
Sasa wewe ukishaondoka ghafla huko kanisani kwako nani aongoze hao waumini unaowaacha kwenye mataa. Ukiulizwa unasema kwani silipi deni, vipi kuhusu muda watu waliowekeza kwako.
Hilo ndio tatizo la madokta wa serikali baada ya kupewa ujuzi na serikali na kupata skills zenye demand kubwa private na mishahara minono inayotokana na tozo za watumia huduma matajiri wanaingia mitini na kuwaacha watanzania maskini wanaotegemea huduma za serikali wakose wataalamu wa tiba maeneo yao.
Kuna mijitu mingine itakwambia Kwani huko private si wanaenda hudumia watanzania. Wakati hilo kundi alizidi 5% ya watumiaji, mtu anaondoka anaenda deprive 95% ya watumiaji wa huduma kisa mshahara mnono.
Hilo swala aliwezi vumiliwa, private waajiri wahitimu wao na wenyewe kwa wingi kama serikali.
Unakuta jitu linalilia ajira leo serikalini baada miaka kadhaa akishakuwa daktari bingwa anaivimbia serikali, kwani hakujua mishahara ya serikali kabla ajaomba kazi.