Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Hata kama wanazini na mkeo/mumeo hakuwaondolei haki yao ya kukosoa.
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
 
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Ndo kishakosoa hivyo. Waalimu wote waliokimbia shule na kwenda kwenye siasa wakamatwe na vyama vyao vifutwe mara 1 Msweet wa jf
 
Kuna Madaktari wengi waliosomeshwa na kanisa lakini Mara baada ya kuhitimu, wakatimukia serikalini. Mfano Muhimbili, Kuna Madaktari wengi waliosomeshwa na kanisa katoliki Jimbo la Songea kupitia Hospitali ya Mt Joseph PERAMIHO. Wengine hawakurudi kabisa kituoni kwao. Mfano ndg yangu Dr Swalo, Dr Bingwa wa upasuaji wa Tumbo.
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Hahahaaaa Dah!
 
Natumaini hamkumwelewa. Ni hivi wewe umepata kazi serikalini wako ambao wamekosa unaajiriwa halafu unakimbia ajira. Lakini kama umemaliza na wala hukuangaika kutafuta kazi serikalini hakuna atakaye kufuatilia utakumbana na deni lako hukohuko uliko. Lakini umeajiriwa serikalini umechukua mshahara umechukua na malipo ya kituo cha kazi halafu unaacha kisolemba huo ni uhuni na wizi. Kwa nini tangu mwanzo usiache kuajiriwa kwa sababu ya mshahara mdogo.
Kwamba hili ni kosa?
 
Back
Top Bottom