Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #101
Kazi ya kwanza ambayo kiongozi wa dini ameagizwa na Mungu ni kukemea maovuKama mimi ningekuwa kiongozi wa dini ningejiepusha mno na maswala kama haya.
Kazi ya kwanza ambayo kiongozi wa dini ameagizwa na Mungu ni kukemea maovuKama mimi ningekuwa kiongozi wa dini ningejiepusha mno na maswala kama haya.
Na wasioajiriwa walipiwe na wazazi waoMimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Unafikili hiyo Dr.ana njaa Kama yako.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kwani kulipa mkopo ni lazima ufanye kazi serikalini? Na usipokuwa na kazi basi mkopo unasemehewa? Ninavyojua mimi wakopeshaji wanakupa masharti ya namna ya kulipa na hawajali uwezo wako wa kulipa au status yako ya ajira. Serikali kama wanaona wanawahitaji sana hawa madaktari wangewasamehe deni lao kwa masharti ya kuhudumia katika hospitali za serikali kwa muda fulani. Au wangeingiza kipengele cha kuwa daktari atakaechukua mkopo ajue atawajibika kufanya kazi serikalini maisha yake yote na kupiga marufuku hospitali binafsi na za taasisi nyingine kuajiri madaktari waliokuwa na deni la mkopo bila kibali cha mkopeshaji, hata kama Serikali haina nafasi za ajira.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Ni jukumu la msingi la serikali yoyote duniani kuwapa elimu bora watu wake kwa maendeleo ya nchi husika.ila kuwapa elimu haimanishi wote wakafanye kazi serikalini,wachache watafanya kazi serikali,wengine wataanzisha makampuni yao,wengine wataanzisha hospital zao na wengine wataamua kuwa wakulima.lakini wote hao wanajenga nchi .Ile kauli niya hovyo iliyotolewa na mtu ambaye hakutaka kushughulisha akili yakevizuriSerikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Mkuu mkopo unalipa ukiwa popote pale,may be simple question.huko hospital binafsi wanahudumia watu wa nchi gani?Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kwani ukienda Sekta binafsi mkopo hatulipwi?Je waliosomeshwa na taasisi za dini wanapoenda serikalini nani analipa gharama?Na je wanaosomeshwa na serikali na hawafanyi kazi serikalini na wako nje ya nchi nao je.Kwenye mkataba wa mkopo kuna kipengele Cha mkopaji kufanya kazi serikalini?Huko si kuua Sekta binafsi ambazo Zina mchango mkubwa kwa wananchi na serikali yenyewe?Naamini Sasa tunapoteza mwelekeo kabisa Kama nchi.serikali yenyewe haina ajira na ukipata ajira mishahara kiduchu kwa nn watu wasiende sekta binafsi na Kama serikali inawataka si waongeze mishahara?wafanyakazi wamechoka kunyonya waachwe watafute greener pastures.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Interview ya Nini serikali ijitathimini inapoangukia usitafute mchawi wakati mchawi ni serikali yenyewe inayonyonya wafanyakazi.iwalipe haki yao na si kunyonya jasho Lao.mimi nahitaji madaktari waanze kupigishwa interview wanapoomba kazi za serikali watakua na heshima tu na kazi zao. Na sio kuwapeleka tu bila hata kuwahoji kwenye interview ndio maana wanakosa nidhamu.
Serikali ndo inataka vya bure iache kulia Lia Kama mtoto iwalipe mishahara mizuri si kuwabinya jasho lao.Magu yuko sahihi ukitaka vya bure ukubali masharti ya bosi ni ukipewa friji la Coca-Cola bure uache kuweka bidha zao uwekage Pepsi
Kama mimi ningekuwa kiongozi wa dini ningejiepusha mno na maswala kama haya.
Dokta ataucheza wimbo wao " wacha waisome namba eheee... UHUJUMU MAGUFULI..!Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.
Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Analipia tena kwa gharama kubwa mno na pretension fee juuYaaani unajifanya unajua kumbe hujui,mkopo wa serikali mtumishi analipa kwa hata kama alihama deni liliendelea kulipwa sio kwamba ukihama unaacha kulipa
Ndyo. Wapo wanaosomeshwa kwa ufadhili toka prmry hukoSerikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Inategemea umehama vipi, je, umefuata taratibu? kama hujafuata taratibu hata uwe nani ni lazima sheria itafuata mkondo wake. tatizo lenu hamtaki kushughulisha ubongo wenu.
Kwani kanisa linasomesha kisha linadai ghalama ziludi au inasomesha bure? Maana serikari inakopesha na ndio maana inahitaji ilipwe
Tulizana ndugu dimatteo! Ebu rudia tena kusoma ulichoandika na ulingalishe na nilichoandika kimanti. Kisha jipime unastahili kuwekwa kundi gani!Huna akili wewe, madakatari wote wanaolipwa na serikali huko kwenye hospital za kanisa
Nikanuni ambayo serikali imeweka ilikumonitor na kusaidia kutoa huduma kwa jamiii.
kwakuwa hizo hospitali zilijengwa na watu wa kanisa...Hata Muhimbili Ni ya walutheri.....
Kama walijua serikalini kuna unyonyaji kwanini hawakuomba hizo kazi kwenye hospitali za private kabla ya kuajiriwa na serikali?Interview ya Nini serikali ijitathimini inapoangukia usitafute mchawi wakati mchawi ni serikali yenyewe inayonyonya wafanyakazi.iwalipe haki yao na si kunyonya jasho Lao.
Du wewe jamaa sio wewe aiseeMaamuzi mengi kwa sasa ndani ya serikali yanaviashiria vya chuki, wivu roho ya kwanini nayanayo fanana na hayo.