Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Kwani Sheria za ajira zilizopo zinasemaje?haiwezekani kutunga Sheria kila wasimamapo jukwaani
 
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Wapeleke mahakamani. Nani alikwambia viongoz wote wa kiimani wana hilo tatizo?
Unzinzi wa mtu na kukosoa ni mambo mawili tofauti.
Mbona had malaya wanaojiuza wanakosoa siku iz?
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Yaaani unajifanya unajua kumbe hujui,mkopo wa serikali mtumishi analipa kwa hata kama alihama deni liliendelea kulipwa sio kwamba ukihama unaacha kulipa
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Mbona ndio utaratibu uliopo? Hata huko private anakoenda si kwamba helsb watakuwa hawakati mkopo kwenye mshahara wake.
Helsb wanakata kama kawa.

Haijalish unafanya kazi private au serikalini. Helsb wanakata mkopo kama kawa.. na huu ndio umekuwa utaratibu wa siku zote.
 
Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke. Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha. Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
haya ni mawazo ya mtu anayetutaka tufikirie kwanza kabla ya kuhukumu! kwa kweli Mungu fundi sana,aliwezaje kututofautisha kiasi hiki katika fikra,mwengine afikirie sawa mwingine aingie mtaroni
 
Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Acha akosoe wanapokosea..wasiambiwe?
Wamewaziba mdomo wengi kwa vitisho na mauaji lakini bado wanainuka wengine
Ni nani mwenye ujasiri kama wa huyu askofu?

Mtu wa Mungu siku zote hukemea mabaya na maonevu akisimamia haki
Bagonza is the real definition of God's servant.

Niulize gwajima yuko wapi now?
Masheikh bakwata wako wapi?
 
Magu yuko sahihi ukitaka vya bure ukubali masharti ya bosi ni ukipewa friji la Coca-Cola bure uache kuweka bidha zao uwekage Pepsi
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana Aisee [emoji119][emoji119]
Kwamba walimpigia kampeni wenyewe mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na "mochwari"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa maana hiyo mpaka marehemu walipiga kura? au ndo zile kura zilizoletwa na mabegi meusi zilikuwa kura za hao marehemu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Back
Top Bottom