Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

Tatizo unawaza Karibu. Siku hizi tena hao madaktari wengi walisoma private schools kuanzia chekechea mpaka F6 na Chuo kama ni private hawapewi mkopo wote Drs na Kozi nyinginezo hawapewi hata cent. Tatizo mmemko imezidi sana siku hizi. Tufikirie kabla ya kuongea. Sasa Padre ameuliza waliosomeshwa na kanisa au taasisi nyinginezo na wakatimkia serikalini nani wa kufungia hiyo hospital ya serikali? Swali zuri sana hilo na muulizaji ana akili kubwa.
Na halitapata majibu
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Nimecheka eti unamlawiti mgonjwa halafu "kinyume cha maumbile"nikajikuta najiuliza kumbe kuna kulawiti sawa na maumbile?
 
Tatizo unawaza Karibu. Siku hizi tena hao madaktari wengi walisoma private schools kuanzia chekechea mpaka F6 na Chuo kama ni private hawapewi mkopo wote Drs na Kozi nyinginezo hawapewi hata cent. Tatizo mmemko imezidi sana siku hizi. Tufikirie kabla ya kuongea. Sasa Padre ameuliza waliosomeshwa na kanisa au taasisi nyinginezo na wakatimkia serikalini nani wa kufungia hiyo hospital ya serikali? Swali zuri sana hilo na muulizaji ana akili kubwa.
Kwa namna hii bora watoto wangu waendelee kusoma private
 
Tena mimi ningefikiri badala ya kuliongelea hili tungeongelea wale ambao wamesomeshwa na wazazi wao na bado wanatumikia serikali ambayo haikuwagharakia hata kwa mkopo.
Swala sio kusomeshwa na serikali au wazazi swala ni maslahi na kulipa madeni ya serikali
Wachunguzi wa Mambo Wanauliza mbona yeye aliacha kufundisha shule ya serikali kule sengerema na akaenda kufuata maslahi Mwanza nyanza Bottle LTD?
Mbona mzee Mwinyi hakumfungia wala hakufungia kiwanda ilihali wakati ule kulikua na uhaba wa waalimu?
Tofauti na sasa hao madakatari wame jaa mitaani
Tuache mihemko tuseme ukweli huyu mtu ni janga la TAIFA
Kwa sasa Habari kutoka Tabora yule Daktari yupo matatani anafunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi eti aliuza Madawa ya hospitali
Hatuwezi kusapoti kila kitu
Yule mtu wa watu ataozea jela na familia yake iitateseka kwa sababu ya ukatili wa mtu mmoja
 
Magu yuko sahihi ukitaka vya bure ukubali masharti ya bosi ni ukipewa friji la Coca-Cola bure uache kuweka bidha zao uwekage Pepsi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mbona yeye aliacha kufundisha shule ya serikali na akeanda kufuata maslahi nyanza bottles?
Mbona Mzee Mwinyi hakumfutia vyeti wala hakufunga kiwanda?
Huyu mtu ni hasidi sana
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Ahahahahah dah! Mgonjwa tena
 
Kanisa linapata misamaha mingi ya kodi kutoka serikalini. Na kanisa ni kwa ajili ya kutoa huduma! Ni jambo la kushangaza kanisa kukereka kwa mtu aliyesomeshwa na ruzuku za serikali( misamaa ya kodi za serikali kwa kanisa) kwenda kufanya kazi ya kutoa huduma serikalini. Inasemekana pia baadhi ya hospitali zianzosimamiwa na kanisa matabibu baadhi ulipwa na serikali mishahara.

Baba Askofu, hapa viwango vimeshuka! Vipandishe tafadhali.
 
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Huna habari kuwa kuna shule za kanisa toka chekechea hadi vyuo vikuu?
 
Yeye Magufuli alihama hama sana kwanza aliacha uwalimu sengerema kwenda Chama cha wakulima wa pamba nyanza akawacha sengerema hawana mwalimu wa chemistry kwasababu ya Maslahi na baadae ata uko akakimbia kwenda bungeni kufata maslahi zaidi
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Haya yote uliyoyaandika yanawezekana kama wakipewa wale YESU aliowakemea msiwashitaki watu Kwa uongo.
 
Yeye Magufuli alihama hama sana kwanza aliacha uwalimu sengerema kwenda Chaka cha wakulima wa pamba nyanza akawacha sengerema hawana mwalimu wa chemistry kwasababu ya Maslahi na baadae ata uko akakimbia kwenda bungeni kufata maslahi zaidi
Anataka maslahi apate yeye sio wengine
 
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Kwani Kila MTU kasomea shule za serikali...!? Anyway, serikali ina wajibu wa kuwasomesha watu wake. Baada ya kuwasomesha haina wajibu wa kuwafanya watu wake mateka.
 
Ni ukweli usiofichika mtumwa hachagui bwana.
 
Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.

Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Haha haa
 
Back
Top Bottom