Uaskofu ni utumishi achana na makoti koti na makofia na makanzu.Askofu wa kanisa gani na huo uaskofu alipewa na nani, atashona na kuvaa mavazi ya kiaskofu au hata kofia feki za kiaskofu wakati hata kanisa hana wala halijulikani
Mungu amwadhibu. Eeh Mola sikia maombi yetu utuondolee huyu mwovu anayekufuru kazi za Roho mtakatifu.ukifika mei mosi mshukuru sana Mungu
Kiburi cha kutegemea nguvu ya ziadaSijui kwanini Sizonje hakushtuka baada ya kuona mtumishi wa Mungu Mwamakula ameingilia kati hali ya haki ya watanzania. Alivyoona amejiapisha urais alidhani yameisha. Aisee miezi mitatu sijui kama kaimaliza.
Anza kujiandaa, humuoni kukonda kwake si bureBaba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na viongozi kwa lengo la kuwakomesha Waliounga mkono Chadema.
Baba Askofu ataungana na Bavicha kwenye mfululizo wa ziara hizo Mkoani Mara.
Aisee mkuu kwenye kuolewa umekwenda mbali sana. Kumbuka huyo nae anamachaguo yake kama viongozi wengine wa dini ambao wanashabikia ccm. Hata kama mtu huendani nae kiitikadi lakini usimshambulie hivyo. Nakuombea msamaha kwa uliowakwazaAskofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Serikali ilianza kukosea kwa kutembea na baadhi ya viongozi wa dini kila mahali hili ni tatizo.shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Kinachomsumbua huyo ni kivuli cha mwenye laana Sizonje. Kama alivyokuwa hapendi mtu yeyote mwenye itikadi inayopingana naye. Hakuna Rais nchi hii alichanganya siasa na dini kama magufuli wakati mwingine kwa kulazimisha viongozi wa dini. Lakini Chatu gang hawakuliona hilo.Aisee mkuu kwenye kuolewa umekwenda mbali sana. Kumbuka huyo nae anamachaguo yake kama viongozi wengine wa dini ambao wanashabikia ccm. Hata kama mtu huendani nae kiitikadi lakini usimshambulie hivyo. Nakuombea msamaha kwa uliowakwaza
Serikali ilianza kukosea kwa kutembea na baadhi ya viongozi wa dini kila mahali hili ni tatizo.
si tu hana ushawishi hata waumini hana.Nguo ya kiaskofu alijishonea mwenyre kwa fundiHuyu askofu hana ushawishi kabisa yaani kila tukio analofanya anaonekana ni kituko.
Nakumbuka alikua na Shekhe Ponda wakaangusha dua za kufa mtu kweli kweli..Askofu alifunga kwa maombi kwamba yeyeto yule ataekavuruga uchaguzi Mungu awaaaibishe.Mungu katenda wametawanyika njia saba
Dua limesepa na mtu slow bashiru wamepoteanaNakumbuka alikua na Shekhe Ponda wakaangusha dua za kufa mtu kweli kweli..
ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½ππΎπΊπ½
Kashone na wewesi tu hana ushawishi hata waumini hana.Nguo ya kiaskofu alijishonea mwenyre kwa fundi
Na InshaaAllah..! Yule DHAIFU tayari ni maiti inayotembea ndani ya BUNGE.Dua limesepa na mtu slow bashiru wamepoteana
Mwache. Ana hasira. Buku 7 zimekata. Asamehewe. Hajui amtukanaye. Baba Askofu na Bavicha Mungu awatangulie. Wafarijini wote walioumizwa kwa kupigania haki.Du Mkuu uwe na kiasi, nakuomba.
Ivi wewe tayari umeshaolewa?Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
AminaMwanakondoo ameshinda tumfuate
Kama sikosei katika ufunguzi wa kampeni za Urais 2015 za chadema kuna mwamba alipiga sala kuwa yeyote atakaechezea uchaguzi huo atakufa kwa kansa ya damu. Sasa ni 2021 wote hawapo wameshakufa.Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Assume wewe ni hakimu, hebu toa hukumu yako sasa ni kwa nini umfunge baba askofu na uweke vifungu vya sheria. Hata kama una mimba changa sio kwa hasira hiziSerikali inafanya kosa kubwa sana kumlea huyu jamaa. hafai hata kuitwa askofu. anachanganya sana siasa na dini jambo ambalo ni baya sana. naongea hivi kwasababu kwa harakati hizo angekuwa shehe angeshafungwa, kwanini wasimfunge huyu naye?
Kweli wewe ni boyaMUNGU KILA SIKU NAMSHUKURU NA NDIYE ANANILINDA HUYO ANASHINDWA KUCHUNGA KONDOO ANAINGILIA SIASA SASA KAMA SIYO UHUNI NI NINI ?