Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

Askofu wa kanisa gani na huo uaskofu alipewa na nani, atashona na kuvaa mavazi ya kiaskofu au hata kofia feki za kiaskofu wakati hata kanisa hana wala halijulikani
Uaskofu ni utumishi achana na makoti koti na makofia na makanzu.
Kwa vigezo vyako unataka kusema Pengo ni askofu?? 🤣🤣🤣
 
Sijui kwanini Sizonje hakushtuka baada ya kuona mtumishi wa Mungu Mwamakula ameingilia kati hali ya haki ya watanzania. Alivyoona amejiapisha urais alidhani yameisha. Aisee miezi mitatu sijui kama kaimaliza.
Kiburi cha kutegemea nguvu ya ziada
 
Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na viongozi kwa lengo la kuwakomesha Waliounga mkono Chadema.

Baba Askofu ataungana na Bavicha kwenye mfululizo wa ziara hizo Mkoani Mara.

Anza kujiandaa, humuoni kukonda kwake si bure
 
Askofu njaa tu huyu! Hana mpya bora ajiunge na siasa rasmi kuliko kujifanya askofu kumbe mwanasiasa
 
Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Aisee mkuu kwenye kuolewa umekwenda mbali sana. Kumbuka huyo nae anamachaguo yake kama viongozi wengine wa dini ambao wanashabikia ccm. Hata kama mtu huendani nae kiitikadi lakini usimshambulie hivyo. Nakuombea msamaha kwa uliowakwaza
shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Serikali ilianza kukosea kwa kutembea na baadhi ya viongozi wa dini kila mahali hili ni tatizo.
 
Aisee mkuu kwenye kuolewa umekwenda mbali sana. Kumbuka huyo nae anamachaguo yake kama viongozi wengine wa dini ambao wanashabikia ccm. Hata kama mtu huendani nae kiitikadi lakini usimshambulie hivyo. Nakuombea msamaha kwa uliowakwaza

Serikali ilianza kukosea kwa kutembea na baadhi ya viongozi wa dini kila mahali hili ni tatizo.
Kinachomsumbua huyo ni kivuli cha mwenye laana Sizonje. Kama alivyokuwa hapendi mtu yeyote mwenye itikadi inayopingana naye. Hakuna Rais nchi hii alichanganya siasa na dini kama magufuli wakati mwingine kwa kulazimisha viongozi wa dini. Lakini Chatu gang hawakuliona hilo.
 
Bado nakumbuka maneno aliyoyatoa kwenye maombi yake......kamwe hayatapita bure . Mungu atatenda kwa ujasiri na kujibu kwa kila aliyeshiriki KUVURUGA uchaguzi wa 2020
 
Askofu alifunga kwa maombi kwamba yeyeto yule ataekavuruga uchaguzi Mungu awaaaibishe.Mungu katenda wametawanyika njia saba
Nakumbuka alikua na Shekhe Ponda wakaangusha dua za kufa mtu kweli kweli..
šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½
 
Nakumbuka alikua na Shekhe Ponda wakaangusha dua za kufa mtu kweli kweli..
šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½
Dua limesepa na mtu slow bashiru wamepoteana
 
Dua limesepa na mtu slow bashiru wamepoteana
Na InshaaAllah..! Yule DHAIFU tayari ni maiti inayotembea ndani ya BUNGE.
mda wowote tunasaga RUMBA..šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾šŸ•ŗšŸ½šŸ’ƒšŸ¾
sisi kwetu raha tu..!
 
Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Ivi wewe tayari umeshaolewa?
 
Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Kama sikosei katika ufunguzi wa kampeni za Urais 2015 za chadema kuna mwamba alipiga sala kuwa yeyote atakaechezea uchaguzi huo atakufa kwa kansa ya damu. Sasa ni 2021 wote hawapo wameshakufa.
 
Serikali inafanya kosa kubwa sana kumlea huyu jamaa. hafai hata kuitwa askofu. anachanganya sana siasa na dini jambo ambalo ni baya sana. naongea hivi kwasababu kwa harakati hizo angekuwa shehe angeshafungwa, kwanini wasimfunge huyu naye?
Assume wewe ni hakimu, hebu toa hukumu yako sasa ni kwa nini umfunge baba askofu na uweke vifungu vya sheria. Hata kama una mimba changa sio kwa hasira hizi
 
Back
Top Bottom