Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe


Nalumbuka hata uchaguzi ndani ya Chadema ulilalamikiwa sana kuwa uligubikwa na figisu nyingi!

Lugha waliyotumia maveterani ndani ya Chadema kuvuruga uchaguzi wa ndani ni kuwa wanawasafisha mamluki na wasaliti . Wakafanya uchaguzi wa Demokrasia ya aina yake ya kupanga washindi walioona wanaendana na matakwa ya maveterani wakiongozwa na mashabiki wa Viongozi wa juu wa chama. Ukweli ni kuwa hapakuwa na uhuru wa wanachama wa Chadema kuwasikiliza ,kuwahoji na kuchagua viongozi wao kwa uhuru ,uwazi na haki bila kundi fulani kungilia haki ya wanachama kuamua waongozwe na nani!!

Mbinu hiyo hiyo ikatumiwa na CCM na serikali yake kuhujumu chaguzi za wazi ,haki na huru kwa lugha ile ile ya kudhiniti Wasaliti wa nchi na nchi kuuzwa kwa mabeberu . Lengo ni lile lile kuhalalisha ubakaji wa Demokrasia ya kweli inayowapa wananchi uhuru wa kuchagua waongozwe na nani!!

Waafrika ni waroho sana wa kukalia madaraka kwenye ngazi zote. Ndio maana watu wanaua na kuiba kura kwenye uongozi mdogo kabisa kama uenyekiti wa serikali za mitaa. Yani kazi ambayo mtu akishindwa kwa haki anapaswa kushukuru mana kama aliombwa na wananchi kuwa agombee anakua ameepuka mzigo mzito wa kujitolea kutumikia umma.

Nakumbuka hata siasa vyuoni huwa watu wanatumia figisu ngingi lakini lengo hasa ni maslahi na unafuu wa kuishi chuoni na viposho vya hapa na pale.
Waafrika hawawezi kujitoa bila kuona maslahi au kuahidiwa maslahi. Ndio maana ni rahisi sana kijana aliyehitimu chuo kujiunga na makundi ya ugaidi kwa sababu tu ya kuahidiwa pepo baada ya kufa ,badala ya kujotolea kuihudumia jamii bure hata kwa kwenda huko vijijini kuvoluntia kama wanavyofanya wazungu maarufu kwa jina la Mabeberu .

Jambo la msingi ni kujenga jamii yenye misingi ya Demokrasia bila kujali vyama . Ndani ya CCM kuna madikteta wasiopenda haki,uwazi na demokrasia ndani na nje ya chama. Halikadhalika ndani ya Chadema wapo wasiotaka kushindanishwa kwa uhuru ,haki na uwazi kwenye nafasi walizokalia.
Cha msingi ni kusimama kwenye misingi ya Utawala bora na Demokrasia hata kama yule anayedhani kuwa yeye ndiye chama stakosa basi akose na ndiyo gharama ya Demokrasia.
 
Askofu anastukia kivuli chake!!
kama kuna usaliti wowote kafanya, afanye toba mapema.

Saa inakuja ambayo kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake.

Kofia ya uaskofu haitasaidia wakati ukiwadia.
Acha ujinga kama kosa kwanini msimpeleke mahakamani ithibitike ? Usaliti ? Usaliti upi? Weka ushahidi hapa Pimbi mkubwa nyinyi mtdkuwa nfio wahusika wenyewe . Tumia hata akili ya ng'ombe kuutikisa mkia na sio mkis kutikisa ng'ombe
Endelea kujidanganya kwa kudhani uko salama , Nape alipokuwa anazurula na Kinana kabla ya 2015 hakudhani kuna siku Jiwe atamtumia watu wamuue , zamu yako yaja
Halafu aliowatuma wabaya sana wakampiga na mapakatinga .
 
Mhutu mtu wa ajabu sana hivi anafikiri kuua wapinzani wake ndio akili ?
 
Hata Hitler alikuwa mnyama ila sio kwa viongozi wa dini. Hii ni too much. Ila kama kuna mpango kama huu, waache mara moja.

Matokeo yake ni magumu kuyafikiria, itakuwa na madhara makubwa sana
Viongozi wa kidini waganye kazi za kiroho waache siasa, wakienda kinyume na maadili ya kazi yao lazima wafundishwe.
 
Ni pale mtumishi wa Mungu anapokuwa muongo, mwambieni nae akimbilie Roma,si analindwa na Mungu sasa anaogopa nini?
 
Hata Hitler alikuwa mnyama ila sio kwa viongozi wa dini. Hii ni too much. Ila kama kuna mpango kama huu, waache mara moja.

Matokeo yake ni magumu kuyafikiria, itakuwa na madhara makubwa sana


"Aliyezoea vya kunyonga hawezi kuchinja".
 
Ni pale mtumishi wa Mungu anapokuwa muongo, mwambieni nae akimbilie Roma,si analindwa na Mungu sasa anaogopa nini?
we uza mpunga kwa bei ya hasara huko kapamisya baada ya nchi kufirisika , haya mengine huyawezi
 
Hata Hitler alikuwa mnyama ila sio kwa viongozi wa dini. Hii ni too much. Ila kama kuna mpango kama huu, waache mara moja.

Matokeo yake ni magumu kuyafikiria, itakuwa na madhara makubwa sana
Mkuu ukijikumbusha ya Masheikh wa Uamsho, Sh. Ponda usisahau ya Askofu wa Ngara. Hii ni Afrika na madaraka hulindwa... je Askofu Luwum alisalimika kwa Idd Amin?
 
Mtu akitaka kwenda kuishi ulaya tu bure bure anatafuta gia ya kuchafua taifa lake kisha anasepa!!!
Jamani na mimi natishiwa kwenye ndoto!!!!!
 
If you kill Bishop Bagonza: a) you will go to hell b) you'll waste your bullets, bullets cost money c) you will get nothing in compensation. Why kill him?

My question to Bishop Bagonza is simple: why don't you report it to the Police? They will ask you who do you suspect but you will not be asked to furnish proof, just suspicions is enough. If you report a suspect, nobody will be arrested, nor ve taken to court: they will just call the suspect and give him a statutory warning. In 99 cases out of 100, it works. Kama ni credible, watakupa bodyguard, wewe mtu mkubwa. Kama hawakupi, KKKT itakupa.

Of course unchecked matusi ya tundulissu "...wewe kipilimba na wewe igp surrounded watoeni hawo vikaragosi wenu wasinifuatefuate....". Nenda kituoni rasmi, kwa adabu na untenyekevu, utasaidiwa Inshaallah.

Of course pia kuna maisha Canada, jamaa wameshapagundua, genda!

ZFZMWCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…