Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Kama anaweza afanye hima. Huu utawala hauna huruma wala aibu, una uwezo wa kumtoa mtu uhai mbele ya kundi la watu kwa kujua hakuna atakayewanya kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani 'wanaokutaka' Kiukweli ukikimbilia huko sijui Ulaya au Marekani wanaweza Kukukosa? Kuna 'Jasusi' Mmoja wa Kinyarwanda tena alishawahi hadi kuwa Chief of Military Intelligence wa Rwanda na alikuwa akitaka 'Kuhatarisha' Amani na Usalama wa Rwanda na Kukimbilia nchni Afrika Kusini ili Kujificha. Ila alisahau kuwa Rwanda 'Kiujasusi' imebarikiwa kama Israel ambapo 'alitegwa' Kiufundi kabisa katika Hotel aliyokuwa akiishi na 'Wanamume' wa Shoka wa 'Kitutsi' walipomaliza 'Jukumu' lao 'tukuka' wakarejea zao Kupumzika Kigali huku leo akiwa ni Historia hapa duniani.
 
Serikali ya Tanzania wala Chama Cha Mapinduzi havihusiki na 'Mauwaji' yoyote yaliyotokea kwa hao 'Wapendwa' Wenu na 'Muuwaji' wenu mnae tu.

Vyombo husika mbona havichukui hatua kwa huyo muuaji wetu?
 
Vyombo husika mbona havichukui hatua kwa huyo muuaji wetu?
Vyombo husika huwa havinyii Kazi Taarifa za 'Kipumbavu' kama hizo bali zina Kazi Kuu / Mama tu ya Kuimarisha Ustawi wa Tanzania na Maendeleo.
 
Hakuna mtu anaweza kiwa na shida na bagonza, hasa kwa lipi?
Mamabo yake hayana hoja wala hata anaowaongoza kanisani kwake hakuna anaye yajali sasa uhangaike na mtu amabye anatafuta uteuzi chadema?
Mambo anayo yaandika ni sawa na ya mke mwenza.
Kwani anayoandika kama ni ya kipuuzi mbona kama yanachoma?
 
Unataka kusema kuna Viongozi wa juu Tanzania wametoa amri ya kuuawa kwa Kiongozi wa dini?

Naona umeandika hisia zako zaidi.
Sio mimi nimesema mkuu.. ni Bagonza amesema. Naona unataka kunilisha maneno
 
Unataka kusema kuna Viongozi wa juu Tanzania wametoa amri ya kuuawa kwa Kiongozi wa dini?

Naona umeandika hisia zako zaidi.
Sio mimi nimesema mkuu.. ni Bagonza amesema. Naona unataka kunilisha maneno
 
Kwani 'wanaokutaka' Kiukweli ukikimbilia huko sijui Ulaya au Marekani wanaweza Kukukosa? Kuna 'Jasusi' Mmoja wa Kinyarwanda tena alishawahi hadi kuwa Chief of Military Intelligence wa Rwanda na alikuwa akitaka 'Kuhatarisha' Amani na Usalama wa Rwanda na Kukimbilia nchni Afrika Kusini ili Kujificha. Ila alisahau kuwa Rwanda 'Kiujasusi' imebarikiwa kama Israel ambapo 'alitegwa' Kiufundi kabisa katika Hotel aliyokuwa akiishi na 'Wanamume' wa Shoka wa 'Kitutsi' walipomaliza 'Jukumu' lao 'tukuka' wakarejea zao Kupumzika Kigali huku leo akiwa ni Historia hapa duniani.
Kumbe wewe pia uzao wa shetani!! Unafurahia mauji ya watu.

Kama una huo uwezo, basi nenda mkamwue Lema Canada na Tundu kule Ubeligiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila aliyeko tofauti na wewe unataka kumuua? Huyu mzee vipi lakini?
 
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao.

Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu.

Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
Nenda Canada, baba, nenda Canada. Freedom of speech? Bwerere! Au freedom kwa mashoga bwerere!
 
Kumbe wewe pia uzao wa shetani!! Unafurahia mauji ya watu.

Kama una huo uwezo, basi nenda mkamwue Lema Canada na Tundu kule Ubeligiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakanaya 'Waya' vizuri ila mwambieni 'azikanyage' kisawasawa tu, ili ajue ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo.
 
Askofu anastukia kivuli chake!!
kama kuna usaliti wowote kafanya, afanye toba mapema.

Saa inakuja ambayo kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake.

Kofia ya uaskofu haitasaidia wakati ukiwadia.
Ila kofia ya WAUWAJI inatosha siyo?.
 
Ndivyo anavyowadanganyeni 'Majuha' Wenzake nyie nawe ukiwemo? Sasa kama ana Ushahidi kwanini haupeleki Polisi au hata 'awaanike' tuwajue?
Lisu alivowaanika mlichukua hatua gani? Mpaka akapigwa risasi?. Alafu unamwita mtu juha acha kujivunjia heshima Kwa kuabudu watu.
 
Hajakanaya 'Waya' vizuri ila mwambieni 'azikanyage' kisawasawa tu, ili ajue ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo.
Lisu alikanyaga waya vizuri sana. Vipi ilikiwaje?. We ni mmoja wa Mapooza waliomkasirikia MUNGU kumponya Lisu.
 
Back
Top Bottom