Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Askofu anatia aibu kwakweli,anaanza uzushi kama wa wanasiasa Lisu na Lema.
 
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao...
Hivi bado makanisa yake yako lockdown? au baadaye aliungana na "dictetor"?
 
Wapi bwana, kwa jinsi nilivyomwona anatembea na ma AC? Hafiki mbali huyo!
Unaonaje ukitangulia ukamuacha.? Maana swala la kufa haliangalii ugonjwa tu, mtu anaweza kuwa kitandani kea miaka 5,wewe mwenye afya njema ukatangulia kwa ajali ya gari.

Naiwe hivyo🙏
 
Pale mtu wa Mungu anapogoma kumpa heshima Kaisali na huku akijitapa kumpa heshima Mungu wakati kufanya hivyo anajua kabisa anamfanyia utovu wa nidhamu Mungu! Mungu ameishaagiza, ya Kaisali mpe na Ya Mungu ampe tena kwa heshima.
Unaifahamu historia ya mfalme Ahabu ?
 
ila kiukweli katika dhambi amabayo imefanya huu utawala kitendo cha kummaliza saanane na lissu kumvunja viungo na wengine kuwamaliza kabisa haitasahaulika wafanye wafanyavyo..hili magufuli ulikosea sana tena sana.
Ubaya hulipwa
 
waogopeni sana viongozi wanaopenda kutumia jina la Mungu kila wakati, ni watu wanaoficha uovu mkubwa huko. Askofu Bagoza mtegemee Mungu kwa kila kitu.
 
Ukisoma comment za wachangiaji waweza toa machozi yani utagundua kuna watu awam hii kwao mtu kuuliwa au kuumizwa ni sawa kabisa tena hata aibu hawana sasa kama kila mkosoaji kwenu kifo no haki yake sasa hayo maendereo nani atayashuhudia? Enyi wagalatia ninani kawaloga
Na ndio maana nchi ikipatwa na majanga watu wanafurahi serikali ikibagazwa watu wanashangilia kwasababu ya mambo.kama haya kiukweli serikali ya magufuli chini ya CCM imewagawa Sana watu naamini ikitokea Vita na yeyote tunachapwa mchana kweupeeee kwasababu ya CCM na serikali yake.
 
Unajua isivyo. Yarabi toba, wiki hii umekula maharage gani? Kama ni wehu umechizika. Umepatwa na nini mjivuni juha?
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
 
Lakini sio mmoja au wawili waliosema uhai wao uko hatarini na kweli yakatokea. Je hayo yaliyotokea yalishindikanaje kufichwa?
Serikali ya Tanzania wala Chama Cha Mapinduzi havihusiki na 'Mauwaji' yoyote yaliyotokea kwa hao 'Wapendwa' Wenu na 'Muuwaji' wenu mnae tu.
 
Ninavyojua Watu wakikuamulia hasa Kukumaliza huwezi kamwe kujua na hata wa karibu yako hakuna ambaye atajua. Sasa huyu Askofu anatuboa!
Wewe ni mwendawazimu. Lisu kabla hajashambuliwa, hakujua kuwa alikuwa anatafutwa adhuriwe? Hakulitaarifu jeshi la polisi? Ben Saanane, kabla ya kupotezwa, baada ya kuhoji uhalali wa PhD, hakueleza kuwa alikuwa anatishiwa?

Mbona mnakosa akili za kuchangia hoja japo kwa kiwango cha akili ya chini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwendawazimu. Lisu kabla hajashambuliwa, hakujua kuwa alikuwa anatafutwa adhuriwe? Hakulitaarifu jeshi la polisi? Ben Saanane, kabla ya kupotezwa, baada ya kuhoji uhalali wa PhD, hakueleza kuwa alikuwa anatishiwa?

Mbona mnakosa akili za kuchangia hoja japo kwa kiwango cha akili ya chini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naendelea Kusisitiza tena nikijiamini kabisa kuwa Serikali ya Tanzania na Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na hayo' Mauwaji' yenu. Tumewachoka!!!
 
Back
Top Bottom