Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Askofu Benson Bagonza adai kuna wanaotaka kumdhuru, wamefika Karagwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao.

Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu.

Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza

-----
bagonza-pic.jpg

Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Karagwe Diocese Bishop Benson Bagonza said yesterday he has beefed up his security as a measure to safeguard his life after some unknown people started stalking him.

However, Kagera Regional Police Commander Revocatus Malimi told The Citizen that they had no reports that the bishop’s life was in danger because he had not reported the matter to them.

“We have no information, so we have nothing to say. It’s the first time I hear about this, and it is from you. If he decides to report the matter, we’ll take the usual steps, including investigating and observing how the matter develops,” he said.

In response, Bishop Bagonza admitted that he had not reported the matter to the police, which he said came as tip from some good Samaritans.

Bishop Bagonza revealed this to The Citizen following his tweet that had gone viral on social media. It read: “It is true that I’m not safe. There are people who seek to impress those in power by taking my life. They have camped here as they look for ways to hurt me, nobody has sent them. They believe that by doing so, they will get favours of higher authorities. I’m ready. I will not run”.

Following the message, Tundu Lissu responded: “I have known Bishop Ben Bagonza of the ELCT Diocese of the North West since 1995.

Bishop Bagonza is a courageous religious leader who stands up for the truth. ‘Unknown people’ are threatening his life. I stand with Bishop Bagonza against those who threaten his life”. Dr Bagonza revealed that a few days ago he was being stalked by some unknown people who appeared to have malicious intentions against him.

Explaining further, he said the men who had been stalking him stopped after he went on social media over the incident. “At the moment the situation is calm, because as you know, I sent the message on social media last week,” he said.

“These are rogues that are accusing me of being in the opposition, which is not true, because I am not a member of any political party, my crime is that I only speak the truth as I see it,” he said.

Unfortunately, he said, he did not get a chance to see the people’s faces. Bishop Bagonza is among vocal religious leaders who often speak on public affairs without fear or hesitation which has made him popular in recent times.

Through his message that circulated on social media, and which he admitted was his, he wrote: “A person who tells the truth will be killed, the truth will remain, even if a liar dies, the lie remains”.

“Who said a prophet must be pure? Isaiah, Jeremiah, and others asked to be cleansed before being sent. No one is to be cleansed from his uncleanness. If so, defile yourself without polluting others, ”wrote Dr Bagonza.

Source: Citizen
 
Sababu kubwa ya kutaka kumuua ni kusema ukweli kuhusu hali mbaya ya haki za binadamu, udhalimu Nchini na kukosa kama demokrasi ya kweli. Msikilizeni Warioba hapa chini bila ya shaka ataanza kutishiwa uhai wake.


 
Askofu anastukia kivuli chake!!
kama kuna usaliti wowote kafanya, afanye toba mapema.

Saa inakuja ambayo kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake.

Kofia ya uaskofu haitasaidia wakati ukiwadia.
 
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao .

Binafsi siwezi kupuuza taarifa hii ya kiharamia kutokana na ukweli kwamba sasa tuko kwenye Tanzania mpya ambayo wote waliotoa taarifa za kuwindwa hawakulindwa hadi wakaumia ama kupotea , Lissu na Ben Saa Nane ni mifano halisi , mpaka leo Polisi hawana maelezo yaliyonyooka zaidi ya kumung'unya maneno tu .

Mungu mbariki Baba Askofu Bagonza
Kama kweli, nawalaani, wafe KWA kifo hha ajabu, na imekua, wajaribu waone, sio maneno yangu, asema mwenye dunini na alietuumba na kutupa pumzi, hacheni mzaa MUNGU yupo, watapata tabu Sana, haya Kama walikua na nia, na wadhubutu

Asema bwana
 
Hata Hitler alikuwa mnyama ila sio kwa viongozi wa dini. Hii ni too much. Ila kama kuna mpango kama huu, waache mara moja.

Matokeo yake ni magumu kuyafikiria, itakuwa na madhara makubwa sana
Unataka kusema kuna Viongozi wa juu Tanzania wametoa amri ya kuuawa kwa Kiongozi wa dini?

Naona umeandika hisia zako zaidi.
 
Back
Top Bottom