Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

Hapa msimuonee Mh. Mwigulu.

Sawa hatuwezi kumpangia mkubwa cha kufanya.

Ingekuwa ni wizara ya afya tungeelewa haraka ya nini kuteua na kutangaza mbadala ndani ya siku ya mazishi.

Tukio linafikirisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba katoa mzee aliekwisha madini kaweka kijana mwenye akili ila hana nafasi ya kuzitumia kabanwa na system! (kasoma special school) .mtu akifa habari yake imekwisha, kwanza haya mazee ndo yametuletea umaskini yalikazania siasa na diplomasia na sera mbovu yenyewe yakishiba huko UN na kuwaacha wabongo masikini wa kutupwa mara Chuma kikaingia na miundombinu imara na kuleta tumaini jipya!! Ile mila kuwa eti hadi tumbo lipasuke huko mavumbini ndo huku juu muendelee na yenu ni mila feki for me nilizaliwa na kukulia mjini! hakuna pengo ameacha bali amesaidia wengi kupata ajira mavyeo mia mtu mmoja kwa miaka sabini!! what a poor country!!
 
nafikikiri CAG kaonyesha nani katumia vibaya RUZUKU
 
Unajua masharti aliyopewa na serikali ya KENYA ukichukulia wao wpo kwenye PARTIAL LOCKDOWN ....... sio rahisi kama unavyofikilia
 
Hapa msimuonee Mh. Mwigulu.

Sawa hatuwezi kumpangia mkubwa cha kufanya.

Ingekuwa ni wizara ya afya tungeelewa haraka ya nini kuteua na kutangaza mbadala ndani ya siku ya mazishi.

Tukio linafikirisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ana mpango wa kuvifungulia kesi ya uhujumu uchumi virusi vya Corona! Who knows, akili yake anaijua mwenyewe. Sijui hata hana washauri? Au ndiyo tatizo la kuwa na washauri ,ndiyo mzee. Shubaamit
 
Mdomo taka ubongo kinyesi
 
Busara na hekima ni zawadi toka kwa MUNGU.

Naamini barua ya uteuzi imetoka hata kabla ya aliyeenda kumuwakilisha kwenye mazishi hajafika nyumbani.

Na hapo tuseme huenda ni hekima za aliyepaswa kuitoa kuichelewesha kidogo

Wanaomtetea kwa hilo kwa kweli sijui nao wana roho gani. Barua inatoka watu wakiwa bado wanaendelea na taratibu za mazishi na aliyeenda kumuwakilisha akiwa safarini!! Kwa hiyo angeenda yeye barua angeisaini akiwa njiani! Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdomo taka ubongo kinyesi
dawa imeingia!! si kazi yangu kukufurahisha!!kama una less than two degrees usisome my comments hutonielewa hata Yesu arudi mda huu!

ngoja nikusaidie next time to understand what i write you need to recall some historical facts , admit your bias, consider real life situations, globalization , consider your age group and generation, admit your political affiliation and wishes, compare western life versus poverty striken slums , human rights , freedoms and dignity!!

endelea kuwasifu kwa nyimbo na mapambio wanaokuletea umaskini!! duniani tunaishi mara moja kila binadamu ana haki ya kuishi vyema, si haki watu wako kufa wakiwa na obesity watoto vijijini wakifa kwa utapiamlo!! think about it!!
 
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.

macson
Wewe unaamini Naibu waziri ni sub human. Kwa hiyo na sisi unataka tuamini hivyo? Hujui kwamba mtu anaye kaimu madaraka ni mzuri maana ana perform ili apewe full power? After all, huyo naibu waziri amedhalilishwa. kwamba hawezi kuendesha ofisi hata kwa wiki mbili. Shubaamit
 
Unajua masharti aliyopewa na serikali ya KENYA ukichukulia wao wpo kwenye PARTIAL LOCKDOWN ....... sio rahisi kama unavyofikilia
Asirudi tena

Diplomatic ways can help but you denied
 
Hujui mbele wala nyuma nimesha kupotezea kizazi cha nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…